HIVI CCM NGAO YENU IPO MAHAKANI na KUUNDWA KWA TUME ZA UCHUNGUZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIVI CCM NGAO YENU IPO MAHAKANI na KUUNDWA KWA TUME ZA UCHUNGUZI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wakitei, Sep 5, 2012.

 1. w

  wakitei Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inanishangaza sana kuona kila kosa linalofanyika khs CCM wanakimbilia mahakamani angalia tukio la DOCT
  Ulimboka wakasema mahakamani angalia kugoma kwa waalimu tayari wameenda mahakamani mgomo wawafanyakazi nao mahakamani kuuwa kawa mwandishi habari wa channel ten naye iundwe tume tume mauaji ya ARUSHA TUME jaman imefika mahali kila kitu tume tume mahakamani je mahakama nayo inaundiwa tume ya uchunguzi ?
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  We ulitakaje?
   
Loading...