Hivi CCM nayo inafanya kampeni za Uchaguzi mkuu ili wachaguliwe ?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Ni suali tu ,maana huyo wa kumfanyia kampeni kwa upande wao siwaoni na hawapo ,wananchi wameshazoea kampeni za miCCM kwa muda wa miaka 40 ,ikimaanisha hawana jipya baada ya wananchi kuwaelewa longolongo zao ,unapokaribia uchaguzi mkuu ,mwaka huu watu washaisusa CCM waliobakia ni mtoto wa shangazi kwa mjomba ,utawaona mtoto kava kofia.baba shati na mama khanga za ccm.

Watu wooote wanaeenda kuwasikiliza wawakilishi wa UKAWA kwani ndio watakaowakabidhi nchi kuiongoza na si kuitawala.Wengi nimewasikia wakisema naenda kutazama ngoma tu ,sina haja ya maelezo ya wagombea wa UKAWA kwani tayari kura yangu wanayo.

CCM wameangukia pua Lowasa amewapiga chenga ya mwili.
 
Nimeambiwa mahala kuwa wanaccm walipita mitaa ya wanaojitambua wakiwa kwenye gari ikazuka zomeazomea ya wezi!
 
Ni suali tu ,maana huyo wa kumfanyia kampeni kwa upande wao siwaoni na hawapo ,wananchi wameshazoea kampeni za miCCM kwa muda wa miaka 40 ,ikimaanisha hawana jipya baada ya wananchi kuwaelewa longolongo zao ,unapokaribia uchaguzi mkuu ,mwaka huu watu washaisusa CCM waliobakia ni mtoto wa shangazi kwa mjomba ,utawaona mtoto kava kofia.baba shati na mama khanga za ccm.

Watu wooote wanaeenda kuwasikiliza wawakilishi wa UKAWA kwani ndio watakaowakabidhi nchi kuiongoza na si kuitawala.Wengi nimewasikia wakisema naenda kutazama ngoma tu ,sina haja ya maelezo ya wagombea wa UKAWA kwani tayari kura yangu wanayo.

CCM wameangukia pua Lowasa amewapiga chenga ya mwili.
Kuna jamaa wakati tuko O'level alivuta bangi ya Tabora, teacher akawa naelekea alio, jamaa alikuwa karibu na bomba akachuchumaa nyuma ya bomba ilikujificha , sasa ndio wewe ulicho andika
 
CCM mwaka huu bado haina mbadala. Kuendelea kuongoza ni lazima.
 
kamma mamako alivyofumaniwa na mlinz wa kimasai pale jiran na kwa mzee mwalubado

Mama yangu hayupo duniani miaka mingi tu na sijui kama aliwahi kumuona hata mmsai mmoja katika uhai wake! Umefarijika na matusi yako?? Mimi nimeripoti kile nilichoambiwa na wewe unanitukana! Naomba Mods haki za mama yangu zilindwe!!
 
Back
Top Bottom