Hivi CCM nao watafanya mikutano ya ndani tu au wao hadi ya hadhara watapiga kama kawaida yao?

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,943
28,384
Maajabu,
Maajabu,
Maajabu
Hawa CCM hawana aibu hata kidogo na siku mkiona amani ya nchi imetoweka sababu kubwa ni ccm.
Mnajua ccm wanawafanya vyama vingine kama watoto wadogo, ukiangalia vyama vingine vilivonyanyasika kwa miaka yote ya magufuli utawaonea huruma

CCM wao walipiga mikutano ya hadhara tena kwa kutamba, polepole na bashiru walizunguka kila uchao nchi nzima lakini vyama kama chadema walifungwa na kuzuiwa bila huruma.

Lazima ifike hatua tuwe fair nchi hii ni ya kwetu sote na tutaiacha watabaki wengine nao waishi lakini kwa mienendo ya ccm sasa inachosha inachosha na hawaifanyii haki nchi hii ndio naona kuna tatizo sehemu na pamoja na rasilimali zote ndio maana bado wananchi ni fukara na maskini.

Ngoja tuone.
 
Kwa hiyo mbona siwaelewi
2025 mitano Tena au tupige u turn tuwajaribu na kina lissu miaka mitano tu
 
Kwa hiyo mbona siwaelewi
2025 mitano Tena au tupige u turn tuwajaribu na kina lissu miaka mitano tu

Swali ni ccm nao watafanya mikutano ya ndani tuu ? Maana hadi sasa wanapiga mikutano ya hadhara kama kawaida huku wakivieleza vyama vingine vipige mikutano ya ndani tu
 
Back
Top Bottom