Elections 2010 Hivi ccm na wafuasi wake awamuogopi mungu?

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
Hili swala la kuchakachua matokeo waziwazi,ambalo linafanywa na ccm,(chama cha mafisadi)mwisho wake ni nini?Au wao wanafikiria kuwa kila siku ni jumamosi au jumatatu?Watanzania wa leo (2010) siyo wa 2005,na wa 2015 ndio watakuwa tofauti kabisa.:israel:
 
Basi wachakachue na then wakafanye maendeleo lakini wapi, wanapenda kama wote wasingesoma ili waendelee kututawala
 
kuna kina-kingunge wasio mjua mungu unatarajia nini?, habari za kumuogopa mungu zikae pembeni kabisa; kwani kwao mungu hayupo.
 
kuna kina-kingunge wasio mjua mungu unatarajia nini?, habari za kumuogopa mungu zikae pembeni kabisa; kwani kwao mungu hayupo.
Yaani wanasahau kuwa Mungu ana punish hapa2 duniani
 
wanaJF tusife moyo kwani hata ROMA. haikujengwa kwa siku moja naunga mkono kauli kuwa watanzania wa 2005 sio hawa wa 2010 wala 2015. asilimia kubwa ya watu hawakupiga kura wakiamini kuwa mambo ni yale yale ya siku zote CCM kushinda kwa kishindo. Sasa hata wao wamesisimka WANAJUTA kushilia imani zao potofu sina budi watakuwa mstari wa mbele 2015 kuwaunga mkono wanamapinduzi wa 2010. vijana tushikamane kuiimarisha CHADEMA tuungane kwa pamoja kutangaza sera za kimaendele, tusali na kumuomba MUNGU kwa imani na dini zetu tunazoamini tusimame imara ili kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi yetu. WAKATI WA MAPINDUZI YA ROME EMPIRE kulikuwa na msemo mmoja ulikuwa unasema kwamba: "We've done this not because we love CESAR less but because we love ROME more". Tutafakari msemo huu kwa mustakabali wa nci yetu.
MUNGU IBARIKI CHADEMA MUNGU IBARIKI TANZANIA.:peace:
 
Wanaamini Ng'ombe

_DSC0924.JPG
 
Back
Top Bottom