Hivi CCM Kuna Democrasia au ni ukandamizaji tu?

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
Huwa nabaki kushangaa saana kwenye chama cha mapinduzi hata wakimsimika mtu mbovu bado anapita kwa kura zote ndani ya chama. Hivi wote wana mitizamo sawa au huwa wanalazimishwa kufanya hivyo vinginevyo watawajibishwa? Harafu mbona kura ni siri? au Wana-CCM wote ni vilaza?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom