Hivi CCM inaweza kuchukua mtu aliyekuwa wa mwisho kwenye kura za maoni apeperushe bendera?

Wakifanya hivo ndo vizuri ili majimbo mengi yaende upinzani, maamuzi ya wajumbe yaheshimiwe
Unaelewa mchezo wa siasa lakini?

Unadhani aliyeshinda kura za maoni nyingi ndiye anaweza kushinda ubunge NO, kura za maoni siyo kigezo cha mtu kuwa/kushinda ubunge.

Mfano; Timu za mpira kwenye tatu bora, mojawapo ndiye bingwa.
 
Unategemea mwenyekiti au katibu watakuji? Tusubiri labda kwa mara ya kwanza watakujibu!
 
Unaelewa mchezo wa siasa lakini?

Unadhani aliyeshinda kura za maoni nyingi ndiye anaweza kushinda ubunge NO, kura za maoni siyo kigezo cha mtu kuwa/kushinda ubunge.

Mfano; Timu za mpira kwenye tatu bora, mojawapo ndiye bingwa.
Sasa kuna haja gani ya uwepo wa mchujo kwann wasiteue tu fulani utagombea hapa,nyie wapiga kura mtamchagua huyu sawa mpende msipende huyu ndo mtakaemchagua kuliko kukataa maamuzi ya wajumbe.
Njia salama wajumbe ngazi za chini wapige kura za kuenguana kwa kurudia rudia Hadi mshindi apatanikae
 
Back
Top Bottom