Hivi CCM hawaruhusiwi hata kumshuru na kumsifu Mungu kwa uponyaji wa Kimuujiza!?

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,726
Hata kumsifu Mungu kwa muujiza huu mkubwa uliotokea ni nongwa.

Hivi kweli ni kweelii au naota.

Kwani kumshukuru Mungu na kulisufu jina lake kwa uponyaji huu alioufanya wa Kumuokoa Lissu itaathiri vipi mahusiano yako ewe mwana CCM na chama chako.

Kama mlitoa pole alipopata janga...ni nini kinawafanya msimshukuru Mungu kwa kumponya .

Seriiiously...!!!
Spika kwelii!!??

MUNGU ANAWAONA.
 
Sisiemu? Aaa wapi! Kuna vitu vyao vya kupigia makofi na vigelegele kama mnyamwezi yupo kwenye maswezi! Sisiemu ni full vibaka.
 
Hata kumsifu Mungu kwa muujiza huu mkubwa uliotokea ni nongwa.

Hivi kweli ni kweelii au naota.

Kwani kumshukuru Mungu na kulisufu jina lake kwa uponyaji huu alioufanya wa Kumuokoa Lissu itaathiri vipi mahusiano yako ewe mwana CCM na chama chako.

Kama mlitoa pole alipopata janga...ni nini kinawafanya msimshukuru Mungu kwa kumponya .

Seriiiously...!!!
Spika kwelii!!??

MUNGU ANAWAONA.
Hawawezi kushukuru maana mungu ameenda kinyume na watakavyo wao
 
Back
Top Bottom