Hivi bunge la Afrika Mashariki lina faida gani, kwa nani na labda liliwahi kusaidia jambo gani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,441
215,220
Bismillah Rahman Rahim , Asalaam Aleykhum , mara baada ya salamu naomba pia niwatakie watukufu Waislam funga njema yenye baraka za Mwenyezi Mungu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kujua faida ama neema yoyote ya uwepo wa bunge la Africa Mashariki , yako mengi ya kuuliza lakini nisingependa kuwachosha maana ni dhahiri kwamba kwa kupitia maelezo yenu basi bila shaka maswali yangu mengi yatapata ufumbuzi , na ni vema tukijikita kwenye faida zinazoonekana badala ya zile za kufikirika .

Natanguliza Shukrani na naomba pia kuwasilisha
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom