HIVI BUNGE BADO LINAENDELEA? LINAJADILI NINI?

Mh. Ndugai hivi mnafanya nini humo la maana kuwa msipokuwepo mambo yataharibika. Mfano hospital zisipokuwepo, tungelikuwa tumeshakusahau, sasa hilo bunge lako, mkilifuta kutakuwa na athali gani?
 
Back
Top Bottom