King Edward
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 230
- 376
Daah,.braza huna kingdom fungi kweli???
Daah,.braza huna kingdom fungi kweli???
Jamani Mpauko tatu zote si itanuka kwa uvundo wa majasho na mikojoSiku tatu bwana
Jamani Mpauko tatu zote si itanuka kwa uvundo wa majasho na mikojo
DuuuuuhAtfua nan sas labda kam una mke ndan
Wanaume wengi wao wachafu kumbe, boxer ivaliwe siku moja tu
Kumbe Tanzania hamna maji ya kuosha Boxer? Acha niambie Jaguar awahurumie , haina haja mrejeshwe kwenu mtesekeSwali kwa wadau wote wa boxer.
Swali jepesi sana.
Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu
Kuwa mkwelii tu
View attachment 1103899
My future wife atashangaa kabati limejaa boxer na vest na soski
Boxer 40
Vest 30
Soksi pair 20
Mvivu wa kifua fua kila baada ya siku 2, navaa hadi boxer 20 ndo nafua
USAFI WA MWILI NA MAVAZI NI JAMBO LA KILA SIKU. INATOSHA!Swali kwa wadau wote wa boxer.
Swali jepesi sana.
Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu
Kuwa mkwelii tu
View attachment 1103899
Swali kwa wadau wote wa boxer.
Swali jepesi sana.
Mimi kawaida huwa na vaa boxer miezi 6 hadi 8 kisha ndo nafua huyo ni mimi.
Siijajua kwa ninyi wadauu
Kuwa mkwelii tu
View attachment 1103899
Kwa Kawaid ni mpaka pale itakapoanz kutoa harufu
😂😂😂😂🙌🏽Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumua huko uvunguni kuona zipo ngapi na chini ya godoro ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
Kikubwa ni uchafu1 day nabadiri tatizo wengi wanazo chache na uchafu pia unachangia
Naona umeanza kutusimanga sasa, Mungu anakuona LR!Kikubwa ni uchafu
Hata kama una chupi mbili 2
Ukioga leo utafua 1 uiache ikauke siku nzima
utavaa ingine uliofua jana
Uko vizuri mkuu
Kikubwa ni uchafu
Hata kama una chupi mbili 2
Ukioga leo utafua 1 uiache ikauke siku nzima
utavaa ingine uliofua jana