Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Ushawah kuskia msemo wa "chupi tako"?? Ss inatakiwa uitandike adi pale unapoona ukikaa inang'ang'ania kwe tako
 
Mi bhana hizi huwa nazinunua kwa mafungu na kinachofuata hapo, ni vaa, tupa uvunguni! Vaa, tupa uvunguni! Kwa bahati mbaya nimesafiri, ningezifurumua huko uvunguni kuona zipo ngapi na chini ya godoro ambazo sijavaa zimebaki ngapi na hapo ningefahamu by average natumia wiki ngapi! Oh! Nimekumbuka! Hello my Princess Queen Khantwe; hebu nenda basi pale ghetto ukanisaidie hilo zoezi!
😂😂😂😂🙌🏽
 
Back
Top Bottom