Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Tuwekane sawa,hapo ni kama hiyo Boxer unaivaa kama chupi au kama unaivaa juu ya chupi...?
 
Hahahah mi napiga mara moja mkuu, mishe zangu juani sanaa, ivo jasho za hapa na pale,, ila kwa nyie wa viyoyozi hata siku 3 poa tu
Vest itategemea na rangi

Itategemea na shunguli gan nafanya....

Kama hainitoi jasho vest navaa siku tatu lbda iwe nyeuoe hii siku mbili tu
 
Masaa 12, yaani asubuhi jioni then nyingine, jioni hadi asubuhi then ukioga unaenda ofisini nyingine.
Acheni uchafu, boxer ukiwa nazo kama 60 unavaa mwezi bila shida kabisa, zilizochafuka ukitupa kwenye machine ya kufulia ni nusu saa tu, then mashine ya kukausha nusu saa nyingine huku unafanya shughuli zako. Maisha mbona mepesi sana .
 
Back
Top Bottom