Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Mkuu kwa upande wangu ni mpaka ianze kung'ang'ania mwili (kuibandua kama bandage) ndio najua kuwa ni ya kufuliwa sasa
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
, mkuu kwahiyo kubadilisha boxer ni direct proportional na upatikanaji wa kibarua??

Hiyo ilikuwa ndiyo formula yangu, ila siku hiyo nilikosa timing ya kununua mpya, kwa hiyo nikaipoteza niliyokuwa nayo.

Nikaulizwa boxer iko wapi, nikasema sina. Akaitafuta akaipata. Anauliza kwa nini sifui, nikamwambia hakuna mtu wa kunifulia.

Tulitoka hapo tukaenda kununua 10, akawa kila weekend akija anataka kuona 7 chafu anafua. Weekend asipokuja inabidi nilazimike kufua mwenyewe vinginevyo akija hakuna mambo. Mpaka nikazoea.
 
Unasemaje wewe?! Wallah utazilipa boxer zangu!! Mwenzako huwa naziweka uvunguni kwa sababu na kale ka-atmosphere ka huko, baada ya mwezi ukizitoa zinakuwa kama mpya na unazipiga round ya pili poa tu bila kuzitesa kwa kuzifua.
Unaniabisha bwana unataka nionekane nimeshindwa kazi?
 
Back
Top Bottom