Hivi bodaboda mna nini?

Dah! Hivi bodaboda wana jema kweli? Naona mara zote wanashutumiwa wao tu na kuhukumiwa kwa mabaya ya kila aina!

Wizi, wao! uporaji, wao! uzinzi na wake za watu/wanafunzi, wao! fujo, wao! kelele mtaani/barabarani (sijui wamezifanya nini zile pikipiki zao kwenye lile bomba la kutolea moshi!), wao!
 
Habari zenu wapendwa.. nawapenda sana

Husika na kichwa cha habari hapo juu.. karibuni

Pikipiki almaarufu bodaboda= Hivi bodaboda mna nini? Miaka ya mwanzoni kuingia kwa usafiri huu nchini ulionekana kutoa ajiri kwa watu wengi

ASANTENI.

Na kazi tena kuna uzi nilitoa kuhusu bodaboda ila kutokana mood wa jf alifuta haraka.
naona akili zinafunguka sasa.

kama anabisha arudishe kwa yale yote niliyoandika
 
Back
Top Bottom