Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
1,673
3,788
unamjua rajolina, wakati anachukua urais katoka kupiga disco club maana alikuwa DJ,rais anapigiwa kura na wananchi wote hapimwi kwa vigezo unavyoviongea ww. nikwambie ni hivi akija DUDUBAYA, MATONYA,AUNT EZEKIEL n.k akataka urais na akapata suport ya kutosha atakuwa raisi whether you or not. kura zikitosha tu kawa purezidaaa
Endelea kuamini hivi hivyo ungekuwa unajua kitu kinaitwa Leadership traits hata usingebisha
 

Johnson Fundi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,258
1,092
Endelea kuamini hivi hivyo ungekuwa unajua kitu kinaitwa Leadership traits hata usingebisha
achana na mavitu yako ya darasani kwa wapiga kura, mtu yeyote hata kama ni kichaa anaweza kuwa rais mradi tu apate kura za kutosha. cha muhimu sana kukijenga vizuri ni sheria na mfumo
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom