hivi bili za maji na umeme huja kwa jina la mpangaji wa nyumba au kwa mwenye nyumba ?

ryan riz

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
423
682
hii naona imetokea kwa wema sepetu....maana tunaambiwa ile nyumba kapanga ila bili ya umeme inakuja kwa jina lake....MAAJABU HAYA NI MAAJABU TENA MAAJABUUUUUUUU HAYA NI NI MAAJABU
 
Back
Top Bottom