Jasiri asahau Asili! Ushirikina ndio asili yetu mkuu. Mengine yote wametuletea wazungu!isije wakaibua mkojo wa kuku au jasho la kunguru. nchi iliyolelewa kwa ushirikia ina mambo aisee.
Kikombe cha yule babu TAPELI ,aliye waingiza KING hata WATAALAM, WAJUZI WA MAMBO WALIOBOBEA, UMESHA SAHAU????
Eh kweli hata phd wetu yohane alikwenda kunywa
Ila bora hata hivi ulivyovitaja utaweza kula mwenyewe kama umefanya kwa kiasi na si biashara kubwaUfugaji wa mbuzi wa maziwa, ufugaji wa sungura, kilimo cha Uyoga na kilimo cha matikiti maji
Vyote vilikuja kama upepo na kuondoka kama upepo
NAKUMBUKA MTAJI KAMA LAKI SABA ULIKUFA.Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu hasa kukihusisha na nguvu za kiume kinapata soko sana. Akiibuka mtu leo na kusema mayai ya nyoka yanaongeza nguvu za kiume msako mkali utaanza kutafuta mayai ya nyoka popote mashimoni na mapangoni na ukitaka watu waanze kufuga nyoka tangaza kuwa mayai yake yanaleta nguvu za kiume
Mimi niliyala mkuuHivi watu walikuwa wanayala hayo mayai?
Nasty!
TrueNi kama ilivyoisha ya Mafuta ya ubuyu