Hivi bei za bidhaa zinasimamiwa na Waziri gani? Wa Biashara au Tamisemi?

Mfumuko ni stahimilivu na unachochea uzalishaji.

Lakin kazi kuu za serikali ni pamoja na kuimalisha uchumi.

Wanaoweza kulianzisha tifu ni madereva kwa kufunga road na kudai bei za mafuta hazikamatiki ndipo public inaamkb.

Kwakuwa watanganyka hawajielewi naishaur ccm iongeze tena bei kwa kila item,
 
Kuna msururu na mrundikano wa tozo, ushuru na kodi zisizokua na kichwa wala miguu.
Angalizo kwa TRA wajitahidi kubuni vyanzo vipya/mbadala sio kila uchao kuongeza kodi.
 
Enzi za Mwalimu Nyerere palikuwepo na Tume ya bei ambayo ilisimamia bei za bidhaa zote hadi Bia na unga wa ugali.

Sasa tuko kwenye soko huria lakini haimaanishi ndio bei zipande kiholela tu
Naomba kufahamishwa waziri anayeshughulika na bei za bidhaa ni nani?

Mungu wa mbinguni awabariki!
Wewe CCM
Serikali CCM
Waziri CCM

Unatutania? Waulize wenzio huko wameshindwa kudhibiti mabei ya bidhaa.
Hii Hali ikiendelea tutarudi 1982.
Waliokuwepo wanajua
 
Kinachopandisha Bei ya vitu ni makodi mengi ya serikali.

Hawana maana kuwa serikali ipanfe Bei... mfano Dangote alitaka kuuza Sukari 9000 ...akakataliwa, wakamtwanga Kodi kubwa pale
Dangote ameanza uzalishaji wa sukari au una maana saruji?
 
Enzi za Mwalimu Nyerere palikuwepo na Tume ya bei ambayo ilisimamia bei za bidhaa zote hadi Bia na unga wa ugali.

Sasa tuko kwenye soko huria lakini haimaanishi ndio bei zipande kiholela tu
Naomba kufahamishwa waziri anayeshughulika na bei za bidhaa ni nani?

Mungu wa mbinguni awabariki!
Kumbuka kila bei ya bidhaa inapoongezeka, waagizaji/wafanyabiashara wakubwa huongeza profit margins. Ifike wakati serikali ichunguze faida wanayopata waagizaji/wafanyabiashara hasa kwenye bidhaa kama muhimu.
 
Back
Top Bottom