Hivi BAVICHA ni illegal organization??!!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Binafsi,nashangazwa sana na hawa watu wa CCM kuponda na kuidharau BAVICHA kila siku hapa JF kwa kejeli kama "hizi ni akili za kibavicha" n.k.Hivi BAVICHA si taasisi kama UVCCM,UWT na nyingine za aina hiyo?!

Mimi naomba wale wote wanaobeza BAVICHA watueleze mapungufu ya taasisi hii ukilinganisha na taasisi kama UVCCM na UWT.Pia,watueleze taasisi kama UVCCM na UWT za chama cha mapinduzi zina kipi kikubwa cha kufanya BAVICHA ionekane si chochote mbele ya taasisi hizi za CCM.

Naomba mkome mara moja kuitaja taasisi hii kanakwamba ni organizatio haramu kama vile Boko-haramu n.k.
 
Nakala kwa ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jukwaa hili kwa sasa ni kama linaelekea kupoteza mvuto.Sasa hivi badala ya watu kujadili hoja za msingi, wanakimbila kubezana, kuchafuana, kusifiana, kukejeliana n.k kwa ujumla ushabiki.Hali hiyo sasa ni zaidi ya chama/vyama vya siasa.Ni bora tukabadilika vinginevyo jukwaa litapoteza hadhi yake kabisa.
 
Kwakweli inasikitisha!

Alafu tunajiita great thinkers!
 
Binafsi,nashangazwa sana na hawa watu wa CCM kuponda na kuidharau BAVICHA kila siku hapa JF kwa kejeli kama "hizi ni akili za kibavicha" n.k.Hivi BAVICHA si taasisi kama UVCCM,UWT na nyingine za aina hiyo?!

Mimi naomba wale wote wanaobeza BAVICHA watueleze mapungufu ya taasisi hii ukilinganisha na taasisi kama UVCCM na UWT.Pia,watueleze taasisi kama UVCCM na UWT za chama cha mapinduzi zina kipi kikubwa cha kufanya BAVICHA ionekane si chochote mbele ya taasisi hizi za CCM.

Naomba mkome mara moja kuitaja taasisi hii kanakwamba ni organizatio haramu kama vile Boko-haramu n.k.

Mkuu Salary Slip
Kabla hatujaendelea na mjadala, sifa ya kwanza ya taasisi yoyote ile duniani ni kuwa na mahali inapopatikana yaani ofisi. Je ofisi za Bavicha ziko wapi? Ukishanijibu hili tutaendelea kukueleza matatizo ya Bavicha yanayofanya mpaka vijana wajisikie wanyonge sana wakiambiwa kuwa wana kiwango cha Bavicha.

Cc Paul Katyega
 
CC: TUMAINI Makene
Mkuu hebu tunaomba ufafanuzi wa madai haya maana mimi nashindwa kuamini maelezo haya.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi,nashangazwa sana na hawa watu wa CCM kuponda na kuidharau BAVICHA kila siku hapa JF kwa kejeli kama "hizi ni akili za kibavicha" n.k.Hivi BAVICHA si taasisi kama UVCCM,UWT na nyingine za aina hiyo?!

Mimi naomba wale wote wanaobeza BAVICHA watueleze mapungufu ya taasisi hii ukilinganisha na taasisi kama UVCCM na UWT.Pia,watueleze taasisi kama UVCCM na UWT za chama cha mapinduzi zina kipi kikubwa cha kufanya BAVICHA ionekane si chochote mbele ya taasisi hizi za CCM.

Naomba mkome mara moja kuitaja taasisi hii kanakwamba ni organizatio haramu kama vile Boko-haramu n.k.

Kuna mmoja aliniudhi kudai eti ni Baraza la Vichaa Chadema,ukweli ni kwsmba Bavicha inao vijana makini kama UVCCM
 
yaani umepeleka bangi polisi na tunashukuru umejiriport vizuri
kwanza hujui maana ya taasisi. hakuna taasisi ya bavicha.
pili hujui nini maana ya boko haramu.
tatu jukwa la ukome ,na nyimbo zenu za taarabu hapa sio mahala pake.
mwisho ni bora akili za bata kuliko BAVI......CHA.
 
Bavicha ni kikundi cha watukana wanao wapinga.

Hivi wale redbregade si wanatokana na bavucha na ndio hao hao walio mtesa na kumwibia 60,000 ludovick?

Bavicha inatakiwa kufutwa kama kweli watu wanaipenda amani yetu.
 
binafsi,nashangazwa sana na hawa watu wa ccm kuponda na kuidharau bavicha kila siku hapa jf kwa kejeli kama "hizi ni akili za kibavicha" n.k.hivi bavicha si taasisi kama uvccm,uwt na nyingine za aina hiyo?!

Mimi naomba wale wote wanaobeza bavicha watueleze mapungufu ya taasisi hii ukilinganisha na taasisi kama uvccm na uwt.pia,watueleze taasisi kama uvccm na uwt za chama cha mapinduzi zina kipi kikubwa cha kufanya bavicha ionekane si chochote mbele ya taasisi hizi za ccm.

Naomba mkome mara moja kuitaja taasisi hii kanakwamba ni organizatio haramu kama vile boko-haramu n.k.

tofauti ya bavicha na uvccm ni kwamba bavicha wanakunywa viroba sana
 
Binafsi,nashangazwa sana na hawa watu wa CCM kuponda na kuidharau BAVICHA kila siku hapa JF kwa kejeli kama "hizi ni akili za kibavicha" n.k.Hivi BAVICHA si taasisi kama UVCCM,UWT na nyingine za aina hiyo?!

Mimi naomba wale wote wanaobeza BAVICHA watueleze mapungufu ya taasisi hii ukilinganisha na taasisi kama UVCCM na UWT.Pia,watueleze taasisi kama UVCCM na UWT za chama cha mapinduzi zina kipi kikubwa cha kufanya BAVICHA ionekane si chochote mbele ya taasisi hizi za CCM.

Naomba mkome mara moja kuitaja taasisi hii kanakwamba ni organizatio haramu kama vile Boko-haramu n.k.

Hivi wewe hata jina bavichaa huoni kuwa lina walakin?
 
Mkuu; achana nao hao watu. Wasikupe pressure maana hata wenyewe wanajua kuwa siku zao zinahesabika. Makelele yao yoooote hayo unayoyasikia na kuyasoma yanaashiria mwisho wao!
 
Vijana wa bavicha ndio wanaongoza kwa matusi hapa jukwaani,ndio maana tunaposema baraza la vichaa hakuna tofauti,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom