Hivi BASATA hawayaoni haya matusi ya wasanii wetu?

Covid-19

Senior Member
Mar 2, 2020
162
364
Kumeibuka wimbi kubwa la wasanii wa bongo kuimba nyimbo nyingi za kusifu na kuabudu kwa Rais wao. Sina tatizo katika hilo kwani najua ni moja ya shughuli za kuhakikisha tumbo halipigi kelele.

Tatizo langu kubwa ni juu ya haya matusi wanayotutukana wazi wazi kwenye media hasa mimi mtu mzima niliyeamua kuwa na mlengo wa tofauti na chama chao.

Maneno kama 'Wapinzani wanahanya hanya' hili ni tusi kubwa kwa watu wa umri wangu, mimi kweli mtu wa kuhanya!! Tafadhali Basata msifumbie macho matusi la sivyo yatatokea mengine yasiyowqfurahisha hata nyinyi mkakosa mandate ya kuonya.
 
Mh, kila msanii anayetukana "vema" inawezekana, sijui, analipwa na basata! as long as unatukana wapinzania
 
Back
Top Bottom