Hivi baraka za wazazi zipo kweli au ni hadithi za kutunga tu?

Biblia na Quran ni vitabu vya uongo, acheni kupotosha, hivyo vitabu feki havijawahi kumsaidia binadamu kwa namna yoyote ile, baraka/laana ni uongo mtupu, muheshimu mzazi kwa kukuzaa, basi, hakuna cha laana wala baraka
 
Hope mko poa
Kama hauko poa basi imani yako ikuponye

Nadhani wote Kama siyo wengi wetu neno BARAKA ZA WAZAZI limekua liki taradadi katika familia zetu
Kiufupi huwa halikwepeki

Mara nyingi utasikia watu wanaoitwa wenye busara wakisema KAMA MZAZI HAJABARIKI KILE UNACHO KIFANYA BASI HAKITOKWENDA SAWIA

AU MZAZI AKIKUBALIKI LAZIMA UFANIKIWE

swali ni je ? Hawa vijana wanao lisha familia zao ikiwamo wazazi wao kwa taabu kubwa ni kutokana na kukosa baraka za hao wazazi wao?

Hawa vijana ambao wana maliza sori za viatu kutafuta kazi ni shauri ya kukosa baraka za wazazi wao?

Upo ushahidi Wa wazi ambao Mara nyingi wasanii hususani Wa MUZIKI wakisema "NILIPO ANZA MASUALA YA MUZIKI BABA/MAMA HAKUTAKA MIMI NIINGIE HUKU LAKINI BAADAYE ALIPOONA MAFANIKIO AKANIRUHUSU KWA MOYO MMOJA"

Tafsiri ya ushuhuda Kama huu umekaaje?

Mwenye kujua haya karibu tuchangie mawazo..
"Waheshimu baba na mama na siku zako zipate kuwa nyingi duniani"

GOD'S COMMANDMENT
 
Hata wahuni, masela "nya" , wachawi, malaya nao huzaa na kuwa na watoto , hawa nao wanahusika kutoa hizo zinazoitwa baraka za wazazi???
 
Nimepitia haraka ila nikiri kwamba swali lako ni fikirishi.
Kimsingi wazazi ni muhimu kwa Barak a zetu ila si kweli kwamba maskini au wapatao mikasa wote wamekosea wazazi wao. Pia kuna watu wamewatreat vibaya wazazi wao n.a. bado ki maisha wako vizuri.
Nadhani Barak ni zile thabiti kweli zitokazo kwa Kristo ambazo hata definition yake ni Tata pia.
Hope mko poa
Kama hauko poa basi imani yako ikuponye

Nadhani wote Kama siyo wengi wetu neno BARAKA ZA WAZAZI limekua liki taradadi katika familia zetu
Kiufupi huwa halikwepeki

Mara nyingi utasikia watu wanaoitwa wenye busara wakisema KAMA MZAZI HAJABARIKI KILE UNACHO KIFANYA BASI HAKITOKWENDA SAWIA

AU MZAZI AKIKUBALIKI LAZIMA UFANIKIWE

swali ni je ? Hawa vijana wanao lisha familia zao ikiwamo wazazi wao kwa taabu kubwa ni kutokana na kukosa baraka za hao wazazi wao?

Hawa vijana ambao wana maliza sori za viatu kutafuta kazi ni shauri ya kukosa baraka za wazazi wao?

Upo ushahidi Wa wazi ambao Mara nyingi wasanii hususani Wa MUZIKI wakisema "NILIPO ANZA MASUALA YA MUZIKI BABA/MAMA HAKUTAKA MIMI NIINGIE HUKU LAKINI BAADAYE ALIPOONA MAFANIKIO AKANIRUHUSU KWA MOYO MMOJA"

Tafsiri ya ushuhuda Kama huu umekaaje?

Mwenye kujua haya karibu tuchangie mawazo..
 
Wanena vyema kabisa.
Hakuna cha baraka wala cha nini.

Suala la mafanikio halihusiani na Baraka za wazazi.

Suala la Baraka linamafungamano na Mungu pekee yake. Mungu ndiye anabariki

Katika vitabu vya dini Mungu ametoa njia nyingi za yeye kukubariki.

Mungu anaweza kukubariki kwa kuwa amependa iwe hivyo.

Lakini kanuni muhimu aliyoitoa kwa binadamu ili ambariki ni kushika maagizo yake. Kushika sheria zake.

Mungu ameahidi kuaa endapo utashika sheria zake basi utabarikiwa.

Hakuna mwenye mamlaka ya kukubariki au kukulaani chini ya mbingu. Wewe pekee ndio unajiwekea baraka au laana katika maisha yako.

Kuna watu hapo juu wanasema wazazi wanabaraka za mafanikio yako. Sio kweli.

Mungu ndiye mwenye baraka zako zote.

Jambo unalotakiwa kujua ni kuwa. Mungu anatoa baraka na laana kupitia watu kulingana na matendo na imani yako.

Wazazi yaani Baba na Mama ndio wamepewa baraka za umri wako. Mungu akaagiza kuwa ukiwaheshimu basi atakubariki miaka mingi. Ila inategemea na heshima yenyewe.

Wazazi hawakubariki ili ufanikiwe bali wanaonyesha kuwa mpo pamoja na kukutia moyo.

Upo ushahidi wa wazi kuwa wapo watu wengi waliombewa mabaya na wazazi wao lakini mpaka leo mabaya hayo hayajawapata.

Wewe kuwa mzazi haimaanishi wewe ndio kila kitu. Haimaanishi wewe ndio Mungu ati bila wewe mtoto hawezi kufanikiwa.

Japo hatukatai kuwa Mzazi anamchango mkubwa kwa mafanikio ya mtoto wake hasa katika malezi.

Baraka za mafanikio zipo katika kumbukumbu la torati 28.
2 na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako.

3 Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.

4 Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.

5 Litabarikiwa kapu lako, na chombo chako cha kukandia unga.

6 Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.

7 Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.

8 Bwana ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako; naye atakubarikia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako.

9 Bwana atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya Bwana, Mungu wako, na kutembea katika njia zake.

10 Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la Bwana, nao watakuwa na hofu kwako.

11 Bwana atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi Bwana aliyowaapia baba zako kwamba atakupa.

12 Atakufunulia Bwana hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.

13 Bwana atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya;

14 msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.

15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.

16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.

17 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.

18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.

19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,

20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.

21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.

22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.

23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba,na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.

24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.

25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.

26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.

27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.

28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;

29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.

30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.

31 Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, usile nyama yake; utanyang'anywa punda wako mbele ya uso wako kwa jeuri, usirudishiwe; kondoo zako watapewa adui zako, usipate mtu wa kukuokoa.

32 Wanao na binti zako litapewa taifa lingine, na macho yako yataangalia, na kuzimia kwa kuwatamani mchana kutwa; wala hapatakuwa na kitu katika uwezo wa mkono wako.

33 Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;

34 hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.

35 Bwana atakupiga magoti na miguu kwa jipu lililo zito, usilopata kupozwa, tokea wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa.

36 Bwana atakupeleka wewe,na mfalme wako utakayemweka juu yako, kwa taifa usilolijua wewe wala baba zako; nawe huko utatumikia miungu mingine ya miti na mawe.

37 Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.

38 Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.

39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.

40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.

41 Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.

42 Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.

43 Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.

44 Yeye atakukopesha, wala wewe
 
Nimefanya utafiti wa kutosha kabisa tena kwa wafuasi wa hizi dini mbili kubwa Islam na Christian na nimejiridhisha pasipo na shaka yoyote kwamba wacha Mungu wengi ndio wanaosurubika na haya maisha.

Jipe nafasi angalia wasiomcha Mungu na wacha Mungu ni wepi wana maisha mazuri?

Nilikuwa na mpangaji wangu ana miezi miwili sasa tangu ahame kwangu ni swala tano na anajishughurisha lakini imebidi ahame kwangu kwa sababu hana uwezo wa kulipa kodi tena na nimembeba sana kwa kunilipa kodi nusu nusu tena nilimwambia awe ananilipe kwa mwezi mwezi lakini mpaka anaondoka nimemsamehe kodi ya miezi miwili, huyu jamaa anaswali swala tano, hanywi pombe wala havuti sigara.

Huu mjadala ni mzito.
 
Kuna kitu cha kufikirisha hapa acheni kuquote vifungu vya maandiko tu kana kwamba tuna uhakika ni ya kweli, mjikite kwenye hoja ya msingi kama mdau alivyouliza bila shaka naye anajua uwepo wa vifungu hivyo.... tujipe nafasi ya kutumia ubongo wetu kama tunao tusiishie kilichoandikwa.

Ukishaingiza swala la imani au dini kwenye mjadala wowote ule, ujue mjadala huo umeshavurugika na hamtafikia muafaka. Ndio maana badala ya watu kujadili hoja, wanaanza kujadili vitabu vinasemaje. Dini/imani ni kufuli la kufunga ubongo wa mwanadamu ili asifikiri nje ya kile alichoaminishwa.
 
Pia kuna watu wamewatreat vibaya wazazi wao n.a. bado ki maisha wako vizuri.

Tafsiri yako kuhusu maisha mazuri ni ipi, kwa maana pengine ukawaona wewe vile ila wao moyoni moto unawaka balaa.... kuwaheshimu wazazi ni jambo jema ila kuhusu baraka hiyo kauli ya Mungu haiishii hapo.
 
Hope mko poa
Kama hauko poa basi imani yako ikuponye

Nadhani wote Kama siyo wengi wetu neno BARAKA ZA WAZAZI limekua liki taradadi katika familia zetu
Kiufupi huwa halikwepeki

Mara nyingi utasikia watu wanaoitwa wenye busara wakisema KAMA MZAZI HAJABARIKI KILE UNACHO KIFANYA BASI HAKITOKWENDA SAWIA

AU MZAZI AKIKUBALIKI LAZIMA UFANIKIWE

swali ni je ? Hawa vijana wanao lisha familia zao ikiwamo wazazi wao kwa taabu kubwa ni kutokana na kukosa baraka za hao wazazi wao?

Hawa vijana ambao wana maliza sori za viatu kutafuta kazi ni shauri ya kukosa baraka za wazazi wao?

Upo ushahidi Wa wazi ambao Mara nyingi wasanii hususani Wa MUZIKI wakisema "NILIPO ANZA MASUALA YA MUZIKI BABA/MAMA HAKUTAKA MIMI NIINGIE HUKU LAKINI BAADAYE ALIPOONA MAFANIKIO AKANIRUHUSU KWA MOYO MMOJA"

Tafsiri ya ushuhuda Kama huu umekaaje?

Mwenye kujua haya karibu tuchangie mawazo..
Ni kujifariji tu.... lakini sio sahihi kuwakosea adabu wazazi waliokuzaa, hata wazazi wa wengine. Kwa kifupi heshima ni kwa kila mtu anayekuheshimu.
 
Ile ni mikwara na vitisho tu na mbinu za wazazi wa kiafrika kutaka kutegemea vijana wao ili wanufaike. Hakuna kitu inatwa laana duniani.
 
Dhambi inaleta mauti tenda yaliyo mema yanayompendeza Mungu utaishi miaka sabini ya ahadi Huta kufa mpaka litimie lile Mungu alilokukusudia kinyume ya hapo dhambi
Kwahiyo watu wote wanaokufa kabla ya kutimiza miaka 70 wana dhambi?
 
Kuna kitu jamaa mmoja kasema .kuna wazazi wengine hawastahili heshima wala adabu kutokana na matendo yao. Hiyo ni kweli kabisa. Mzazi kakuzaa tu. Masuala mengine ni juu yako wewe mwenyewe. Kama mm mzazi wangu alinizingua tukazinguana . mpaka leo nipo fresh na maisha yangu fresh tu.
 
Back
Top Bottom