Hivi bank bora na kubwa Kati ya CRDB na NMB hapa Tanzania ni ipi?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,063
3,685
Hapo vip!
Kuna jamaa angu hapa ameniuliza swali hili and nimeshindwa kumjibu na anataka kudeposit pesa zake ndefu sana.

Ni Bank gani ipo vizuri kati ya hizi mbili?
 
NMB ina ufanisi mkubwa na ndiyo maana hisa zake DSE ziko juu. Ni zaidi ya TZS 2600 wakati za CRDB zimeshuka mpaka TZS 165.
 
Kuna hawa jamaa NBC nilienda na noti za Pound 10 hii mpya(pound 10 noti ya zamani inapotea kwenye soko) wakanirudisha hawana machine ya kuisoma niliwashangaa saana.

CRDB na NMB wanajitahidi saana.
 
Hapo vip!
Kuna jamaa angu hapa ameniuliza swali hili and nimeshindwa kumjibu na anataka kudeposit pesa zake ndefu sana.

Ni Bank gani ipo vizuri kati ya hizi mbili?
Zote ni nzuri kwani wanafanya biashara. Kama foleni zote zipo sawa kwani wanalingana au wanakaribiana kwa idadi ya wateja. Ila crdb hasa za hapa mjini zina foleni kubwa Zaidi
 
Back
Top Bottom