Hivi bajeti ya wizara ya afya huwa inafanyiwa nini???....hii ni wodi ya wanawake wajawazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi bajeti ya wizara ya afya huwa inafanyiwa nini???....hii ni wodi ya wanawake wajawazito

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 14, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  madaktari wakisema mnasema wamekuwa wanasiasa, mara ooh wanapenda hela. Mtarundikwa sana na wake zenu huku wengine wakitumia kodi zetu kusafiria na kulipwa na kulipiwa gharama za matibabu nje. Na hapo hafanyi mtu round watajicheki wenyewe. Kanga na tshirt za bure ndo gharama yake hiyo.
   
Loading...