Hivi bado ni muda wa kampeni au ni utekelezaji wa Ilani na ahadi sasa?

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Hbr Ya Asbh Wanajamvi!! HIVI Muda TULIONAO Sasa Bado Tunahitaji Kusikia Yale Yaliohidiwa Na Kusemwa Majukwaani Kipindi Cha KAMPENI Za UCHAGUZI Mkuu Uliyopita!!

MAANA Kwa Maneno Ya Mh. President Ya Mara Kwa Mara, Anapokutana Na WANANCHI Wake, Amekuwa Akirejea Yale Yale Ya August to October 2015, ALIPOKUWA Akiomba Ridhaa Yao!!

SASA Ridhaa Ameipata, Iwe Sahihi Au Si Sahihi! KIKUBWA Sasa WATANZANIA Tunahitaji Yale Yaliokuwa Yakiahidiwa Majukwaani, Sera Na Ilani Zitekelezwe Tu!!

SIO Kuja Kwetu Tena KUTUAMBIA Wapelekeeni Salam, Hao Wanaomiliki VIWANDA Na MASHAMBA Ambayo Wameshindwa KUENDELEZA Na Kugeuza Matumizi Yake, Wengine Wamegeuza Viwanda Hivyo Kuwa Mazizi Ya Kuweka Mifugo Yao!!!

HUKU Wakitumia Hati Zake Kuombea Mikopo Ktk Taasisi Za Kifedha, Kwa Madai Ya Kuviendeleza Viwanda / Mashamba Hivyo /Hayo, Badala Yake Wananunua Mabasi Ya BIASHARA Zingine!!!

HAYA Tumeyasikia Wkt Ule Majukwaani, Na Ahadi Ilikuwa, Waliouziwa VIWANDA Na MASHAMBA Hayo, Waendeleze Haraka, Tena Wakalime Usiku Na Mchana, Kabla Ya Yeye (MAGUFULI) Ajaapishwa Kuingia Ikulu!!

KWANI Atafuta Hati Zoote Za Umiliki Za Mashamba Hayo Na Viwanda, Kisha Watavitwaa Na Kuwapatia Wawawekezaji Wenye UWEZO Wa Kuviendeleza / Kulima!!!

SASA Hao Wahusika Hawajatekeleza Alichowaomba Wakifanye! Na Leo Ni Miezi 4 Imepita Tokea AAPISHWE Kuingia IKULU!!! BADALA Ya KUONA Wanyang'anywa, Bado Tunaambiwa Wapelekeeni Salam!!!!

HATUNA Muda Na UWEZO Huo WANANCHI!! Tumeshakupatia Ridhaa Hiyo Ulioiomba, Sasa Tunaomba Watekeleze Walichokisema Tu!!!

KUMBUKENI Ahadi Za Kila Kijiji Million 50 Na Kila Kata 150 Bado Hazijafika Huku Kwetu!!!

Zahanati Kila Kata, Kituo Cha Afya Kila Kijiji, Hospital Ya Wilaya Kila Wilaya Na Hospital Ya Rufaa Kila Mkoa!!!

VIWANDA Vidogo, Vya Kati Na Vikubwa Kila Mkoa, MADUKA Ya DAWA Kila Ktk Hospital Za Wilaya, Mkoa Na Rufaa Ya SERIKALI, Ambayo WANANCHI Makabwela Waweze Kupata DAWA Kwa Gharama Nafuu!

MAJI Safi Na Salama, ELIMU Bure Ambayo Itaendana Na Miundombinu Yake!! SASA Kuendelea Kuongelea Hayo Tena Barabarani Na Majukwaani Ni Kutuchosha Na Kutukatisha Tamaa!!!

TUNACHOKIHITAJI NI UTEKELEZAJI WA AHADI, ILANI NA VIPAUMBELE VYAKO SASA, SIO MUENDELEZO Wa KAMPENI!!!!
 
Nashukuru kwa bandiko lako!sasa subiria "malaika" wa chama cha viwavi waje kumtetea "mungu" wao jpjm,ambae hawataki kusikia amekosolewa
 
Nafurahi anachukua hatua lakini ahadi alizotoa kuzirudia rudia hakuna maana yoyote. Aseme hatua zilipofikia sio kuahidi tena
 
poleni sana wadanganyika maana katika ahadi zote alizoahidi ni propaganda na itafika2020 amna chochote cha maana alichofanya
 
poleni sana wadanganyika maana katika ahadi zote alizoahidi ni propaganda na itafika2020 amna chochote cha maana alichofanya
Ni Kweli Kabisa Mkuu!! Zilikuwa Propaganda, Nilitaka Kujisahau Na Kuamini Kidogoo, Kuwa Huenda Akajaribu Kutekeleza Hizo Ahadi Zake /Zao!!! LKN Kuendelea Kuzungumzia Hayo Tena, Badala Ya KUTEKELEZA Kwake!!!! MHHHH!!! Nakubaliana Nawe Mkuu!!
 
Back
Top Bottom