MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,513
- 47,729
Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, mkandarasi ameahirisha ujenzi mara saba kwa kukosa kulipwa, hii imechangia Tz kuomba mkopo wenye riba kubwa ili mambo yaende, gharama za ujenzi zimeongezeka hadi kuwatokea puani.
Tatizo wenzetu walianza hii miradi kwa mbwembwe badala ya kutulia wawe makini kwenye mahesabu na kuacha misifa.
--------------------------------
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema mwaka 2016 alishauri haiwezrkank kujenga mradk mkubwa wa Reli SGR kwa kodi za wauza nyanya.
Zitto ambaye ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter akimjibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Kitila Mkumbo.
Zitto aliendelea kueleza kuwa “Imewachukua miaka 4 kuelewa hili na baada ya reli kuishia Morogoro wakandarasi kutokulipwa na kuahirisha uzinduzi mara 7,”.
Kiongozi huyo alisema kuendesha nchi ni maarifa sio maguvu na ukatili.
Awali Kitila alisema hoja ya msingi zinakwenda wapi? ” Tunajua kwa dhati fedha inayokopwa inakwenda kwenye miradi ya maendeleo na inaonekana. Na wewe ulishauri kwa bidii kuwa tusijenge hii kwa fedha za ndani,”aliandika Kitila kwenda kwa Zitto.