Hivi bado hii kampuni ya Soud industries ltd ipo?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,688
Habari wana jamvi,
Kama sijakosea jina, hawa soud industries walikuwa wanasafirisha mafuta (Diesel & Gasoline) kwenda mikoa ya Shinyanga na Mwanza hasa hasa migodini (dhahabu). Siku hizi siwaoni ama wameadimika, Je bado wana exist au walishaacha hii biashara yao?
 
Umenikunbusha mkuu naona waliyumba baada ya ile migodi kuyumba nafasi yao wakichukua prime fuel japo nao hawapeleki kiviiile
 
Back
Top Bottom