Hivi BABU WA LOLIONDO AITWE MGANGA, OR MCHUNGAJI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi BABU WA LOLIONDO AITWE MGANGA, OR MCHUNGAJI?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkulungwa, Mar 15, 2011.

 1. m

  mkulungwa Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :angry:WANAJAMII kipi hasa ni cheo cha Babu?

  1. aITWE nabii? mtume? Mchungaji? Tabibu? mganga? mnajimu?

  2. Musa alikuwahi kukutana wa wachawi MISRI wakamrushia nyoka wa kichawi naye mungu akamuamuru arushe fimbo ambayo ilizuka joka akawameza nyoka wote. Je dawa ya babu ni nyoka or joka na tutajuaje?

  3. Babu kaoteshwa dawa na jinsi ya kuitumia, kila nikisikiza zaidi napata masharti mengi. Mfano ukiruka foleni huponi, ukipokea kikombe kwa mkono wa kushoto huponi, ukichemsha wewe huponi, na kadhalika,,, hivi babu kaoteshwa yote haya or mengine anaforce mwenyewe? // aliandika sehemu yote hayo or yaonesha usiku kucha hakulala?

  4. Ikitokea siku moja dawa ya babu ikazaa deci or kibwetere type, hivi hatuonekani majuha kwa watu wanaotufuatilia? wajukuu zetu watatuonaje endapo itatudhuru hapo baadae?

  5. kuna uhusiano gani kati ya kunywewa na watu wakubwa nchini na guarantee yakutokuwa na madhara ya muda mrefu?

  6. Hivi babu anapata tena muda wa kusali jumapili or kapata deal? hivi anatozwa kodi (income tax? ), miti anayokata anapanda mingine(kata mti panda kumi)??

  Mwenye kitabu cha hekaya za abunuwasi naomba kisa cha kuwauzia watu jivu akifanasha na sukari...

  NALIOMBEA TAIFA LISIANGAMIZWE NA MAZINGAOMBWE!!!
   
 2. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwel primitivity has no cure. wewe naona huna la kufanya jina la kumwita babu siyo issue ukitaka hata umwite jinalako bado utukufu wa mungu utamshukia tu. Hakuna litokalo kwa mungu bila masharti ht yesu aliwaambia wanafunz wake achen kila na mnifuate aliyakuwa walikuwa ni wavuvi. Inaonekana ht hujui time table ya babu jpili anaanza kazi saa saba mchana ili kupisha ibada. khs income tax ipo serikal ya kijiji inatoza ushuru. hiyo miti inayotumika ipo kila mahal hk loliondo na siyo exotic inajiotea porini.
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwanini msimuulize mwenyewe? Haina haja ya kumtungia jina.
   
 4. m

  mkulungwa Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Primitivity have no cure for sure !! BABU SIO YESU. yesu hakuwa anaota alipewa elimu na Mungu na mara nyingi alikuwa akimuomba msaada live.
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtu hata mmoja mwenye interest na jina isipokuwa wewe pekee. What is so interested is dawa anayoitoa inasaidia watu kwa kiasi gani?
   
 6. m

  mkulungwa Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Please, Najua jina lake!! Nauliza Cheo chake iliniweze kujua ranking yake compared na wengine kama kakobe, lwakatare, lusekelo, mwingira, ndodi nk.
   
Loading...