Hivi Baadhi Ya Wanawake Wana Pee Ktk Pants Zao??

labda amemfanyia dem wake suprise ya ku-doo!
hi kumkurupua dem wako ghafla bila kumtaarifu akavae ile Pichu mpya ndo inaleta haya majanga!
Waafrica resources zetu ni chache!

A thousand probabilities do not make one truth! Hii story nimeikuta ktk kijiwe changu cha kuponda kokoto. Nashukuru kiasi, Dark City ameweka link hapa.
 
Last edited by a moderator:
labda amemfanyia dem wake suprise ya ku-doo!
hi kumkurupua dem wako ghafla bila kumtaarifu akavae ile Pichu mpya ndo inaleta haya majanga!
Waafrica resources zetu ni chache!

na atakuwa hatumiii condom huyu....
 
Salaam wanaJF!

Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya: kupiga chafya, kucheka, kukohoa, kufanya mazoezi ya viungo na kubeba vitu vizito.

Hivi ni kweli? If so, why 're women more prone to this? Why does this happen, and what can be done about it?

P'se drop your expert analysis and comments.

Aiseee...yaani ukifanya hayo yote hapo juu kwa siku ni karibia sawa na "vijiko kidogo vitano vya chai"

Majanga!
 
Ipo inatokea sana kwa wanawake watu wazima waliokwishazaa age from 30 . . . . . .
Haswa kwenye chafya inatokea not all the time lkn few drops inatokea.
Wanawake hawa wa jf wataogopa kusema wanaona ni kitu cha aibu na wengine hawajawahi experience hiyo kitu but inatokea
 
charming Lady, haya mambo mbona yapo sana tu!

Ebu Google: What I need to know about Bladder Control For Women - National...

kisha utakutana na hii kitu, URINE LEAKAGE: A problem for women of ALL ages.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa naamini mana cp zao ikifika jioni inanuka mkojo liv da ndomama zinaunguaga pale kati
 
Heshima mbele wakuu, matatizo ya kulegea "breki" za mkojo ni tatizo linalowapata kinamama ambao wajifungua kwa njia ya kawaida. Wakati kichwa kinaelekea kutoka panapo kujifungua kinachana misuli iitwayo pelvic floor muscles. Misuli hii inasaidiana na misuli maalumu ya kuziba njia ya mkojo kuzuia mkojo kutoka ovyo. Ndio maana kinamama waliojifungua kawaida wanashauriwa kufanya Kegel exercises kuweza kurudisha asilimia kadhaa ya ufanyaji kazi wa misuli hiyo.
 
Salaam wanaJF!

Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya: kupiga chafya, kucheka, kukohoa, kufanya mazoezi ya viungo na kubeba vitu vizito.

Hivi ni kweli? If so, why 're women more prone to this? Why does this happen, and what can be done about it?

P'se drop your expert analysis and comments.

Mbona Husemi na Wanaume Kila Wanapojamba Hunya au Hutoa Chembe za Mimavi? Tuache Kuwasema Hovyo Dada Zetu na Tuwaheshimu.
 
Heshima mbele
wakuu, matatizo ya kulegea "breki" za mkojo ni tatizo linalowapata
kinamama ambao wajifungua kwa njia ya kawaida. Wakati kichwa kinaelekea
kutoka panapo kujifungua kinachana misuli iitwayo pelvic floor muscles.
Misuli hii inasaidiana na misuli maalumu ya kuziba njia ya mkojo kuzuia
mkojo kutoka ovyo. Ndio maana kinamama waliojifungua kawaida
wanashauriwa kufanya Kegel exercises kuweza kurudisha asilimia kadhaa ya
ufanyaji kazi wa misuli hiyo.

LOL! Are you a doctor?
 
Heshima mbele wakuu, matatizo ya kulegea "breki" za mkojo ni tatizo linalowapata kinamama ambao wajifungua kwa njia ya kawaida. Wakati kichwa kinaelekea kutoka panapo kujifungua kinachana misuli iitwayo pelvic floor muscles. Misuli hii inasaidiana na misuli maalumu ya kuziba njia ya mkojo kuzuia mkojo kutoka ovyo. Ndio maana kinamama waliojifungua kawaida wanashauriwa kufanya Kegel exercises kuweza kurudisha asilimia kadhaa ya ufanyaji kazi wa misuli hiyo.
nakubaliana na wewe 100%
 
nafikiri tungehitaji pia kutembea na nguo za kubadilisha maana wengine siku haziishi bila vicheko. muwe mnaangalia na mambo ya kuandika bana.

Sasa si nawe ushangae, maana kama mie ninavyopenda kucheka si ningekuwa na kazi ya ziada ya kubadilisha!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom