Hivi ardhi ya Temeke haifai kujenga magorofa?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,897
19,078
Wakuu hivi ardhi ya temeke haifai kujenga magorofa au haina thamani ya kujenga magorofa?

Mbona hakuma magorofa yanayojengwa Temeke iwe na national housing au watu binafsi au ofisi za umma.

Naona magorofa ni kinondoni tu na ilala, shida ni nini na Temeke ukiachia kigamboni ambako kuna magorofa ya jeshi aple navy na devo village ambayo hata hivyo sio marefu kama yanayojengwa ilala na kinondoni.
 
Hivi changombe na pale Keko bora hakuna Maghorofa?, uwanja wa taifa sio Ghorofa?, umeshafika Kigamboni mkuu? Unazungumzia temeke ipi mkuu
 
Temeke yenyewe unaijua au ukaona ujiropokee zako tu?
 
kwahiyo yale maghorofa ya police pale kilwa road post hujayaona??? nenda chang'ombe ukakute hadi NHC kota zao za ghorofa.
Yale huwezi kuyalinganisha na class za magorofa yanayojengwa ilala au kinondoni.
 
Hivi changombe na pale Keko bora hakuna Maghorofa?, uwanja wa taifa sio Ghorofa?, umeshafika Kigamboni mkuu? Unazungumzia temeke ipi mkuu
Magirofa ya changombe huwezi kuyalinganisha na magorofa yanayojengwa ilala au kinondoni, nipe mfano wa gorofa moja temeke lenye hadhi au kiwango na hata gorofa la acacia.

Magorofa ya kigamboni ya yale yanayojengwa pale navy barababra ya kisiwani ambayo ni sawa na yale ya kilwa road ya polisi, mengine ni deco village ambayo bado hayajakamilika, niliyataja pia.
 
Jibu swali.
Quality center, quality plaza, jamana plaza, maliasili, kuna ile mall pale kamata oposite na nakumat, ferniture center, girafe kwa matimbwa, tumaini university, uhamiaji temeke, nssf temeke karib na dar group, na mengine mengi sana siyajui majina. mengi sana njia nzima ya Pugu road upande wa temeke
 
Magirofa ya changombe huwezi kuyalinganisha na magorofa yanayojengwa ilala au kinondoni, nipe mfano wa gorofa moja temeke lenye hadhi au kiwango na hata gorofa la acacia.

Magorofa ya kigamboni ya yale yanayojengwa pale navy barababra ya kisiwani ambayo ni sawa na yale ya kilwa road ya polisi, mengine ni deco village ambayo bado hayajakamilika, niliyataja pia.
Hivi kweli unajua Temeke inaanzia na kuishia wapi?
 
Magirofa ya changombe huwezi kuyalinganisha na magorofa yanayojengwa ilala au kinondoni, nipe mfano wa gorofa moja temeke lenye hadhi au kiwango na hata gorofa la acacia.

Magorofa ya kigamboni ya yale yanayojengwa pale navy barababra ya kisiwani ambayo ni sawa na yale ya kilwa road ya polisi, mengine ni deco village ambayo bado hayajakamilika, niliyataja pia.
Wamekujibu kutoka na ulivyoandika kichwa habari ya mada yako, editi kichwa habari mkuu kama swala ulingano wa magorofa ya temeke na sehemu zingine.
 
Bandari,TIA,Mbagala Rangi 3,Kilwa Road Police quarters,na mengineyo...jenga hoja kwenye uchache ila yapo
 
Back
Top Bottom