Hivi ambaye huwa naiona hii body language ya mke wa Rais haiko sawa ni mimi peke yangu au?

Naitwa cleverbright na siitwi getamisin tafadhali na nachoka sasa kila mara kuhusishwa na hiyo ID. au fanyeni hivi ili kurahisisha mambo ID's zote za hapa JF ni zangu ikiwemo na hii yako. Unaacha Kujadili Hoja iliyopo mezani unajadili ID halafu Rais Trump akitutukana Waafrika kuwa hatuna Akili hadi anatufananisha na Mashimo ya Vyoo tunakasirika na Kumchukia wakati huenda akawa yupo sahihi kwa 99% kama hata siyo 100% zote.
Khaaaa!!!!mapimbi mna taabu sana!!!!ulipotema mate juu ulitegemea nini......haya sasa go create another fake ID ujiunge uje,shubhaaamiti zako!!!kwanza njoo utuondolee liuzi lako la kilofa humu!!!
 
Hivi siyo nyie hapa hapa mnaoihusisha hizi ID's mbili za An Eagle na cleverbright kuwa zote ni za huyo sijui Gentamisino ( samahani Kwake kama nitakuwa nimekosea Kuliandika vyema jina lake ) hilo? Kwahiyo na Wewe unaamini kabisa kuwa nimejichanganya na ndiyo maana nikakutajia hiyo ID / hilo Jina? Endelea na endeleeni Kuamini hivyo.
Kasome upya post yako.
Alamsiki.
 
Kasome upya post yako.
Alamsiki.

Naona Wewe na Wenzako mnajisifu kuwa leo nimepatikana nanyi wakati nimeweza Kucheza vyema na Akili zenu kwa kuiweka hapo hiyo ID makusudi kwakuwa mmezidi Kuzichanganya mkidhani zote ni za Mtu Mmoja. Na kuna Mwenzako mwingine nae katika Uzi mwingine utafute ulioanzishwa na huyo huyo sijui cleverbright aliuliza Swali kama lako na nikamjibu kuwa naitwa An Eagle. Naona mnafurahia msichokijua huku mkiwa mmeingia katika Mtego uliopangwa vyema na umepangika!
 
Hahahahh.Naona umeona uje na utetezi huu. Mimi sio kilaza kama unavyodhania.
 
Hahahahh.Naona umeona uje na utetezi huu. Mimi sio kilaza kama unavyodhania.

Huo siyo tu ni Utetezi bali ni Utetezi wa Kimkakati ambao kwa Akili zako ndogo pamoja na za hao Wenzako wengi hapa waliodhani na wanaoamini kuwa leo nimepatikana na Kuumbuka nanyi wala hamna uwezo wa Kuujua. Na ndiyo maana nilikujibu mapema tu katika Maelezo yangu yale kuwa ili Wapumbavu nyie wachache msipate taabu na hizi ID's mbili za An Eagle na cleverbright basi turahisishe tu na tuseme kuwa ID's zote za hapa JF ni zangu sawa? Yaani nimeweza Kucheza vyema mno na Akili zenu za Kipumbavu na kunifanya nizidi Kuwadharau na Kuamini kuwa Werevu wameisha nchini Tanzania.
 
Huyo jamaa wala hajui kujificha maana ana mwandiko ule ule kila leo!

Kumbe na Wewe ni Empty Head hivi na umeamini nilichokiandika na kudhani kuwa nimechanganya au nimekosea? Narudia tena kusema kuwa kweli sasa Werevu wamepungua kama si wameshaisha kabisa nchini Tanzania. Leo nimewawezeni kweli kweli huku sasa mkihangaika Kuzijadili hizi ID's mbili na mkiipumzisha Moja ambayo mmekuwa mkihangaika nayo nenda rudi kuwa nayo pia ina mahusiano na hizi ID's mbili. Endeleeni Kufurahia kufanywa Wapumbavu na Kukamatika vizuri sana leo.

Cc: Victoire, Frank Wanjiru, NAKWEDE, GODZILLA, mwananyaso, MENGELENI KWETU, Joowzey, MR KUO, residentura, joshydama, Amanito, Saguda47, dnjoki
 
Huyu jamaa nahisi ni moderator! Hata mimi nilipigwa ban kwa kumtanabaisha kuwa ni kivuruge wa fake ID's.

Hahaha ulipigwa ban kutokana na sheria za Jf ambazo zinasema kusema hivyo ni kitu kinaitwa “name calling”
 
Kumbe na Wewe ni Empty Head hivi na umeamini nilichokiandika na kudhani kuwa nimechanganya au nimekosea? Narudia tena kusema kuwa kweli sasa Werevu wamepungua kama si wameshaisha kabisa nchini Tanzania. Leo nimewawezeni kweli kweli huku sasa mkihangaika Kuzijadili hizi ID's mbili na mkiipumzisha Moja ambayo mmekuwa mkihangaika nayo nenda rudi kuwa nayo pia ina mahusiano na hizi ID's mbili. Endeleeni Kufurahia kufanywa Wapumbavu na Kukamatika vizuri sana leo.

Cc: Victoire, Frank Wanjiru, NAKWEDE, GODZILLA, mwananyaso, MENGELENI KWETU, Joowzey, MR KUO, residentura, joshydama, Amanito, Saguda47, dnjoki

Hahahahaha mkuu pole sana leo huna pakukimbilia umekamatika hahaha
 
Nasikia Miss Kisarawe, Miss Afya na yule akiyekuwa Miss Madini achilia mbali yule Miss Bamaga mkabala na TBC wanamnyima sana raha na amani kwakuwa Keki yake inaliwa na wengi ambao hawakuihangaikia tokea miaka ya nyuma.
Walishiriki mashindano gani ya umiss maana mmmh nimetoka kapa ingawaje kwa miss kisarawe kidogo kapicha kana kuja kanapotea. Ila hiiiiiiiiiiiiiiiii anajitahidi
 
Hahaha ulipigwa ban kutokana na sheria za Jf ambazo zinasema kusema hivyo ni kitu kinaitwa “name calling”

Na kama kuna hiyo Haki ya Watu Kupigwa BAN kwa ajili ya hiyo so called ' Name Calling ' yako / yenu basi nadhani Watu wengi hapa wangeshaadhibiwa kwa Kupenda kunihusisha Mimi na ID's zingine mbili za cleverbright na ile ya Gentamisini tena huku wakiwa wanajiamini kabisa ila cha Kusikitisha nimeendelea kuwaona wakiendelea Kudunda tu hapa. Na yupo Mmoja nilimwambia kuwa anachokifanya ni hiyo ' Name Calling ' yako na ina Adhabu yake akaja na Kunihakikishia kabisa kuwa ' Name Calling ' ya hapa JF si hii ambayo tunaisema Sisi na kwamba ' Name Calling ' inayostahili Adhabu ni ile ya Kulitaja Jina Halisi la Mtu hapa JF. Mpaka leo sijajua nani ni mkweli au sahihi hasa linapokuja Suala hili la ' Name Calling ' hasa ikizingatiwa kuwa Mimi An Eagle nadhani na hata hao Members wengine Wawili akina cleverbright na Gentamisini tumekuwa ni Wahanga wa hili jambo.
 
Hahahahaha mkuu pole sana leo huna pakukimbilia umekamatika hahaha

BRAINIAC huwa anakamatika? au hujui maana ya neno hilo BRAINIAC ili utafsiriwe nawe uweze kujua lina maanisha nini na limebeba Uhalisia wangu kamili? Na ndiyo maana kwakuwa Mimi ni BRAINIAC leo hii nimeweza Kuwazubaisheni tena Kimkakati na kwa Makusudi kabisa ili mhangaike na mjione Washindi, mmeniweza na nimeumbuka. Sasa hivi Gumzo ni ID''s hizi mbili za An Eagle na ile ya Member mwingine cleverbright huku ile ambayo ndiyo huwa inawateseni na mmekuwa mkiiimba kila mara hapa kuna nayo ina Mahusiano na hizi ID's mbili ikiwa Mapumzikoni.

Leo ndiyo nimethibitisha rasmi kuwa kumbe Watu Werevu wamepungua kama siyo Kuisha kabisa nchini Tanzania. Poleni!
 
Back
Top Bottom