Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

Kwahio wewe unaangalia fulani kasoma wapi na sio anaongea nini ?

Hii ndio maana wasomi wengi they do not excel in their filed practically kuliko wasio wasomi wasio fani hio (wasomi ni much know na hawasikilizi ushauri wakijiona wanajua kila kitu), kumbe they can learn kwa mtu ambaye hakuwahi kwenda shule
 
GENTAMYCINE nimekuja kwa kuchelewa. Maishani kuna kujifunza na kufundishwa. Tunapofundishwa tunapata maarifa kidogo sana ukilinganisha na tunavyojifuna.
Tunapojifunza mazingira, asili yetu na utu wetu unakusanyika pamoja kutafuta maarifa.

Tunapofundishwa tunalishwa werevu na ukengeufu wa mwalimu.

Daima nasema unyago na elimu ya ujando na ya jadi vidumishwe. Hii elimu ndio ilileta wakulima hodari, wafugaji mahiri, wawindaji madhubuti nk.
Nakaribisha mawazo na maoni yako. Vijana wa leo hawakujui wanadhani wewe ni mjivuni, mtukanaji ec. Lakini wewe ni bonge la muungwana
Nakushukuru sana Mkuu wangu hasa hapa mwisho ulipomalizia kwani ulichosema ndiyo Uhalisia wangu kwa 100%

Watu wengi ( tena 95% ) wanadhani GENTAMYCINE ni Mjivuni, Mkorofi na ana Dharau na Matusi ila Wengi wao wangepata bahati ya kuishi nami nina uhakika wangenipongeza kwa kuwa Binadamu na siyo Mtu Kitabia.

Napenda mno Utani, Udadisi, Kuchokoza Jambo, Kufikirisha 'Brains' za Watu na Kuchangamsha Watu hapa JamiiForums na hata Vijiweni na ni mpenda Haki, Uwazi na Ukweli halafu sipendi Unafiki, Uwongo na Sifa.

Nawapenda tu JF Members wote Mkuu.
 
Huwa nafurahi sana kukutana na Watu 'Genius' kama Wewe hapa JamiiForums na ambao huwa mnanielewa upesi GENTAMYCINE na aina yangu ya Mada hapa pamoja na uibuaji wangu wa Masuala ( Issues ) ambazo huwa zinahitaji Mjadala mpana wa Wana Taaluma na Great Thinkers Kuujadili.

Watu wengi wanadhani nakashifu OUT.
Pamoja sana mkuu
 
😂😂😂😂😂 kikubwa wadau wajue kwamba kama una mishe zako usiziache kisa unaenda kampasi jisaliji OUT kula msuli huku ukipiga mishe kitaa maishela yaendelee maana ni chuo cha serikali na kiko chini ya TCU
 
Mkuu umenikumbusha kina jamaa mmoja askari alisoma uhasibu yeye alikuwa anachukua time table pale chuoni , mambo mengine hayamuhusu mtaonana siku ya paper na test, assigment anajua mwenyewe alivyofanya.
Baba zoma ikakae darasani wakati unamajukumu ya familia.
Si ndio hapa,
 
Huyu Jamaa anashida kubwa sana.. We are living in the information age, with the power of Internet of things and industry 4.0 evolution... Online contents zipo vizur kuliko hao lecturers wako wanao download notes na tutorial mtandaoni.. People are being certified and getting the world class education from Udemy,course Era, Edex, MIT na kwingine kwingi..tuu.. Now days hatuna muda wa kukaa class mkuu..
 
Nakushukuru sana Mkuu wangu hasa hapa mwisho ulipomalizia kwani ulichosema ndiyo Uhalisia wangu kwa 100%

Watu wengi ( tena 95% ) wanadhani GENTAMYCINE ni Mjivuni, Mkorofi na ana Dharau na Matusi ila Wengi wao wangepata bahati ya kuishi nami nina uhakika wangenipongeza kwa kuwa Binadamu na siyo Mtu Kitabia.

Napenda mno Utani, Udadisi, Kuchokoza Jambo, Kufikirisha 'Brains' za Watu na Kuchangamsha Watu hapa JamiiForums na hata Vijiweni na ni mpenda Haki, Uwazi na Ukweli halafu sipendi Unafiki, Uwongo na Sifa.

Nawapenda tu JF Members wote Mkuu.
Wewe una kipaji cha kufikirisha. Wengi wetu hatuna kipaji hicho. Matokeo yake ni kwamba tunakuona nunda. Ndio maana adhabu za kila hazikuachi. Ukiwa ni Yusufu tegemea kutengwa na ndugu, kuuzwa utumwani, jela etc ila mwisho wake utakuwa waziri mkuu
 
Aweke viashiria vya utani kama mada ni ya utani, kama tetesi, maoni binafsi ai tafiti aweke wazi.
JF kuna tabia ya kubeza baadhi ya makundi ya watu kitaaluma,kisiasa, kiuchumi, kikanda, kiutamaduni nk.
Utani unajukwaa lake la Jokes. Asijitetee awaombe radhi waliosoma OUT.
Mi binafsi sijapendezwa na awasilishaji wake japo nilihisi hakuwa siliasi maana hakuweka ushahidi.
Utani mwingine sio mzuri kwa sababu unabeza maisha ya watu.
Unajua mtu humu atatafsiri vipi huo utani, je akiushikilia hawezi athiri maisha ya watu.
Mtu mwingine anaweza asiwaamini kabisa wahitimu wa OUT. Hili ni andiko baya aombe radhi tena JF moderator wamuonye kabisa asirudie tena. Mitandao mikubwa yote duniani inapinga ubguzi wa aina yoyote na lugha za kejeli.
 
Upo sahihi kabisa ndugu!

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una shida kubwa sana kama bado unalinganisha uwezo wa mtu na Elimu yake.

Ulimwengu unaenda kasi sana na utaachwa mbali mno.
 
Back
Top Bottom