Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

Status
Not open for further replies.
Ufuska,zinaa,ukahaba upo mpaka Saudi Arabia mnayoiita ardhi takatifu,na wanaofanya hayo Ni hao hao waislamu

Noma
Saudi Sio nchi takatifu. Halafu hapa tunaongelea uvaaji wa hijabu Tanzania. Mbona Israel kuna Homosexual Festival?
 
Saudi Sio nchi takatifu. Halafu hapa tunaongelea uvaaji wa hijabu Tanzania. Mbona Israel kuna Homosexual Festival?
Ndo shida yenu hiyo,mnahalalisha upumbavu wa Mohammed kwa kuegemea upande wa Pili,kwa hiyo Ni sawa Mohammed kubaka binti wa miaka 9 kwasababu tu Israel Kuna homosexual festival Kama unavyosema

Noma
 
Wewe hujui kama Mariya alimzaa Yesu ana miaka 13,na kabla ya hapo alikuwa na mchumba Joseph,fikiria uchumba alikuwa na miaka mingapi,na mimba ailitunga ana miaka mingapi,kama sio 9.Kwa mujibu wa nyingi wakristo.Sasa unaona wivu,unataka wewe ndio ufanywe.
Ndo shida yenu hiyo,mnahalalisha upumbavu wa Mohammed kwa kuegemea upande wa Pili,kwa hiyo Ni sawa Mohammed kubaka binti wa miaka 9 kwasababu tu Israel Kuna homosexual festival Kama unavyosema

Noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la hijabu kuvaliwa shuleni sisi wanaoona mbali tulishajua litaleta matatizo,

Hasa kwa wanafunzi wanaokua tena ni wakike, madhara yake wameshaanza kuzificha mimba, Nywele chafu, na wengine wamesuka, inaondoa Uniformity of students,
Alafu pia nasikia maeneo mengine hata wakatoliki wameanza kudai nao kuvaa baadhi ya ishara za kikatolik shuleni, vipi kila dini hata hasiyekuwa na dini akisema aende na Tunguli zake?

Tutafakari upya juu ya hijabu kuvaliwa shuleni kwa shule za serikali,



Britanicca
Kitu alichokiamrisha Mungu kifanyike, kamwe hakijawahi kuwa na madhara kwa mwanaadamu. Vinginevyo utuletee ushahidi wenye mashiko kutuonesha hilo. Hoja ya kwamba wanafunzi wanaficha mimba kutumia hijab,uchafu au kusuka, hizi ni hoja muflisi na za mtu asiyefikiri kwa kina kile anachokiandika. Maswali ya kujiuliza;
1. Hivi mimba inaweza kufichwa kwa hijab imekuwa kalamu, daftari, hela, au object gani hii hata ifichike kwa miezi 9 msijue kuwa huyu mwanafunzi ana mimba.
2. Hivi wanaopata mimba ni wenye kuvaa hijab tu? Kwamba wakivaa hijab wanafundishwa kupata mimba?
3. Hivi mashuleni wanafunzi wakipimwa mimba wenye hijab zinajificha? Kwa sababu najua kuna utaratibu wa kupimwa mimba wanafunzi wa kike kila baada ya muda fulani
4. Kwani wanafunzi hawakaguliwi suala la usafi mashuleni siku hizi! au wanapokaguliwa wanaoonekana wachafu ni wenye hijab tu? Na hata kama wakionekana wachafu kwani hakuna hatua za kuchukua kwa mwanafunzi mchafu?
5. Kwani kusuka kwa mwanafunzi ni kosa? Na kama ni kosa kwani anayeonekana kasuka hawezi kuchukuliwa hatua za kisheria?
6. kwani kuvaa hijab ni warrant ya mwanafunzi kuwa hahusiki/habanwi na sheria za shule?
7. Suala la uniformity unaliona wewe leo waliotangulia hawakuliona? Kwani si kuna maelekezo kila shule kuwa washone hijab zao zifanane vp? au kila mmoja anakuja na hijab ya design anayotaka???

Ukijiuliza kwa makini maswali hayo, utaona mleta thread/hoja, point zake zote hazina mashiko. Kwa mantiki hiyo, ndugu Britanicca wewe UNA CHUKI BINAFSI NA WENYE DINI HIYO.
Na nachelea kusema mtu kama wewe ni hatari katika jamii yenye mchanganyiko kama tulivyo watanzania. Ukipewa madaraka wewe utafanya ubaguzi wa waziwazi katika uteuzi wa watumishi. Utawapendelea zaidi wa dini yako na ikiwezekana wa kabila lako sababu una tabia ya ubaguzi wa wazi kabisa. Na kuna wengi wenye hulka kama yako maana tunaziona comments wanazotoa.
Ushauri wangu Muombe Mungu akuondolee ROHO MCHAFU huyo wa UBAGUZI. Hijab hazina madhara yoyote.
 
Tatizo lako ni elimu ndogo,ya kushindwa kutofautisha lugha,neno madrasa kwa kiarabu ni shule(Shule,kijerumani),kiingereza
ni school.Sasa utakuwa mjinga wa akili ,unapodharau neno madrasa kwa lugha nyingine ni shule.Nendeni mkasome,acheni kukaa kwenye vijiwe vya kahawa.Ni sawa na mtu aende ujerumani,aseme sisi kwetu tuna shule,hatuna Sule,ni lugha tu.Wakati hata huko shule unaulizwa uko darasa la ngapi(uko madrasa ya ngapi,in matadhi tu,neno ni lile lile.Ni hiii ndio inavyoonyesha jinsi ulivyo na ufahamu mdogo,mbavyokaririshwa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.
Leta andiko linalosema hivyo,usilete upumbavu uliofundishwa madrassa na masheikh ambao wakiishi darasa la pili

Noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo shida yenu hiyo,mnahalalisha upumbavu wa Mohammed kwa kuegemea upande wa Pili,kwa hiyo Ni sawa Mohammed kubaka binti wa miaka 9 kwasababu tu Israel Kuna homosexual festival Kama unavyosema

Noma
Naona unajaribu saana kuharibu mada.
TAKWIMU ZA KIELIMU ZINAONESHA KUWA MIKOA YENYE WAISLAM WENGI(WAVAA KUBAZI MADELA NA VIMINI) IKO CHINI SANA
TAKWIMU ZA UKIMWI ZINAONESHA KUWA MIKOA YENYE WAKRISTO(WASTAARABU ZAIDI DUNIANI) WENGI INA MAAMBUKIZI MAKUBWA YA UKIMWI.MWANAMKE WA KIISLAM ANAPASWA KUJISITIRI. SASA SIJUI HAPA NYIE MNAKWAZIKA WAPI? KUNA KANISA MOJA ARUSHA MASISTA HUSIMAMA MLANGONI ILI KILA AINGIAPO MWANAMKE AMBAYE HAJAJISITIRI BASI WAMPE KANGA JE HUWA WANAFANYA MAKOSA PIA?
 
mbona MASISTA wanavaa HIJJAB.
nao ni wachafu?
nao wana Ficha MIMBA?

Sent using Jamii Forums mobile app
NGOJA NAMI NITUMIE AKILI ZAO
USHAHIDI ALIOTOA PAPA NI KUWA VIONGOZI WA KIKATORIKI WANAWANYANYASA KINGONO MASISTA. INAPOTOKEA WAMEPATA MIMBA NGUO WAZIVAAZO HUSAIDIA KUFICHA MIMBA, IKIWA MIMBA ITAKUWA KUBWA BASI SISTA HUPELEKWA MASOMONI. ATAKAPOJIFUNGUA MTOTO HUPELEKWA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA NA SISTA HURUDI PAROKIANI.
 
Tunajali wawe na Uniform kama wengine, kitendo.cha kuongeza vazi la.ziada ambalo wengine hawana ni kuvunja misingi ya sare
Wewe una roho wa CHUKI anayekusumbua. Zile ni sare/uniform kama za wengine. Sijui wewe kinachokusumbua ni kutokuona mapaja yao, au matiti yao. Nahisi wewe utakuwa ni mwalimu tena wale walimu WAKWARE ambao ndo wanawatia mimba wanafunzi. Sasa unapataga shida kuwajua wenye figure nzuri za kukuvutia sababu wanakuwa wamejistiri. Nenda kaombewe kanisani hilo pepo mchafu likutoke. Huo ushauri mimi nimekupa bure kabisa, sihitaji ada
 
Tuendeleze kamjadala kidogo hapa ili nipate elimu nawe upate, karne hii ya 21 na ongezeko hili la joto tunalolishuhudia je ni sahihi kwa mwanamke na binti wa kiislamu kujitanda manguo hivyo? Nna ushuhuda wa kutembea na mabinti kaza wa namna hiyo hawavai kabisa nguo za ndani (simaanishi chupi) yani anavaa lile juba tu na wanakuwa na rangi mbili (Sio wote)

Na kuhusu msichana kuvunja ungo anaweza kuolewa kwa sheria za kiislamu kwa karne hii watoto wanavunja ungo wakiwa na miaka 12 je ni kweli dini ya kiislamu ni ya haki na inazingatia utu wa mwanamke? (Achilia mbali aliyoyafanya Muhammad ya kuowa mabinti wadogo nyakati hizo tuzungumzie wakati uliopo)
Tumia akili,kuhusu kuvyaa nguo kwa kuwa na joto,zingatia uvyaaji huo,haijatajwa katika uislamu lazima uvyae hijabu ya rangi gani,ni maamuzi ya mvaaji,ila mtume Muhammad alihimiza sana uvaaji wa nguo nyeupe,,ndio ukaona wavaaji wanavyaa rangi tofauti kulingana na matakwa ya mvaaji,kwa mfano wanafunzi wanavyaa vitambaa veupe,kila msomi anajuwa wazi rangi nyeupe,kisayansi hainyonyi mwanga,inasukuma mwanga nje,yaani ukiwa na nguo nyeupe kwenye jua,huwezi kusikia joto kama anavyosikia mwenye nguo ya rangi ya giza.Kwa hiyo masuala ya joto hapo hakuna.Pili kuhusu kuolewa tunaona hata Mariya,mama wa Yesu alimzaa Yesu,ana miaka 13,na kabla ya hapo alikuwa na mchumba anayeitwa Joseph,sasa piga hesabu,kuwa na mchumba Joseph,na mpaka kushika mimba,kama sio miaka 9,itakuwa mingapi,Kwa mujibu wa wakristo,mnavyoamini.
Kwa hiyo jitahidini mutumie akili,sio tu kusikiza maneno ya vijiweni ya kukaririshwa,kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.
Hebu wewe mwenyewe fikiria,kijisketi anachovyaa mwanafunzi wa kike, na kiblouze,na kichwa wazi,mtoto huyu wa kike akiinama,nguo yote ya ndani inaonekana,kiblouze,vijiziwa vikianza sasa vinaonekana,anaishi kwa tabu,akiinama,ashike sketi isipeperuke,wakati wa upepo mkali,hivi visketi vinapeperushwa,mpaka nguo ya ndani,inaonekana,akipanda daladala kwa tabu,mpaka abane sketi,akishuka daladala,akiendesha baiskeli kila saa,akivute kisketi hiki,akicheza na wenzake kinapanda juu,hayuko huru.Waoneleeni huruma hawa watoto wa kike wenu,mko tayari wapate tabu,kisa tu mavazi ya kujistiri ni ya waislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui kama Mariya alimzaa Yesu ana miaka 13,na kabla ya hapo alikuwa na mchumba Joseph,fikiria uchumba alikuwa na miaka mingapi,na mimba ailitunga ana miaka mingapi,kama sio 9.Kwa mujibu wa nyingi wakristo.Sasa unaona wivu,unataka wewe ndio ufanywe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta andiko linalosema hivyo usilete upumbavu uliofundishwa madrassa na sheikh wako aliyeishia darasa la pili

Noma
 
Suala la hijabu kuvaliwa shuleni sisi wanaoona mbali tulishajua litaleta matatizo,

Hasa kwa wanafunzi wanaokua tena ni wakike, madhara yake wameshaanza kuzificha mimba, Nywele chafu, na wengine wamesuka, inaondoa Uniformity of students,
Alafu pia nasikia maeneo mengine hata wakatoliki wameanza kudai nao kuvaa baadhi ya ishara za kikatolik shuleni, vipi kila dini hata hasiyekuwa na dini akisema aende na Tunguli zake?

Tutafakari upya juu ya hijabu kuvaliwa shuleni kwa shule za serikali,



Britanicca
Nimeshangaa kuona hii hoja imeletwa na Member ninayemheshimu kama Britanicca. Kweli leo umeamua kuja na Hoja za kuchokonoa imani za watu?
 
Wangekuwa na akili,wangewaonea huruma hawa wanafunzi wa kike,wasiovyaa nguo za kujistri,jinsi wanavyopata tabu.Kijisketi kifupi,kila akiinama,apeleke mkono nyuma akizuie,kisipeperuke na upepo.Akipanda daladala,akizuie kisionyeshe nguo ya ndani,akishuka daladala,akiendesga baiskeli,akicheza,kila wakati,kisketi akishika,waoneeni huruma hawa watoto wenu wa kike ,hawako huru,kwa vivazi hivi vya sketi fupi na viblouse.Na bado hatujagusia akiwa kwenye siku zake,zikimtokea shuleni,ghafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom