MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kipindi kilichopita tulishuhudia watu waking'olewa meno na kucha na kisha wakateswa na kutupwa misituni, namaanaisha kua wale waliokua opposite na watawala wa enzi hizo. Kwa sasa tunaona wanaokua opposite na watawala wanapotezwa kabisa.Sijui ni nani alikua akihusika na hayo,na ni nani anafanya haya hivi sasa maana ukweli wanao watesi wenyewe.
Kuna mzee mmoja aliwahi kupigana vita kuu ya pili ya dunia akiwa kama Jasusi na komandoo kwa simulizi yake aliwahi kuniambia ilikua inafikia mahali katika shughuli muhimu za kiusalama mnakaa na kuafikiana kua "ni bora moja afe kuliko kupoteza wengi".Hii dhana kama ni kweli inatumiwa mahali itakua ni kimakosa kabisa,sidhani kama kuna watu wamefikia huko kwenye taifa kama letu lililojaa watu watulivu.
Kila nafsi itaonja mauti, hakuna atakayekwepa lundo la mchanga,kila kiumbe kitasimama mbele ya muumba wake kwa nafsi yake hata kama alitumwa. Kama wewe ni mtawala au askari una umri wa miaka 25-60 kwa sasa utambua kua hakuna miujiza ya kufikisha miaka 100 hata ufanye kitu gani utakufa tu kabla ya miaka 100.Ni lazima ufe tu na utakufa,furahia mateso ya wenzio na nafsi za wasiokua na hatia lakini nawe utakufa tu.