Hivi aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini Mh. Karamagi yuko nchi hii kweli?

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,163
2,223
Toka alivyopigwa chini kwa mambo ya Richmond aliamua kukaa kimya huenda aliachana na siasa kabisa.
Hata kusikika uwa hasikiki nilikuwa nauliza kwa yeyote anaye jua hivi Karamagi yuko Tz hii kweli?
 
Mkuu,haya si mambo binafsi sana, manake kwa sasa ni raia wa kawaida hivyo ni vyema uende ukaiulize familia yake hilo swali, with due respect.
Aliwahi kuwa kiongozi wa nchi hii hivyo kukumbuka viongozi wetu siyo jambo baya ndiyo maana uwa tunajadiri hata viongozi waliokwisha kufa kama akina sokoine na wengine
 
angeshinda mamvi urais ungekuta huyo fisadi karamagi bado anawadhifa mkubwa tu serikalini...ndege wafananao
 
Mkuu,haya si mambo binafsi sana, manake kwa sasa ni raia wa kawaida hivyo ni vyema uende ukaiulize familia yake hilo swali, with due respect.
Kwani kujua yupo wapi kwenye jukwaa kunashida gani
Tatizo unafiki kitu kibaya sana
Inamaana yanayoulizwa humu yote yakijamii?
 
Back
Top Bottom