Hivi aliyeandika hizi taarifa mwenye Wikipedia ya msanii Faustina Charles Mfinanga a.k.a Nandy, alikuwa na maana gani ?

Barakoa

JF-Expert Member
Apr 11, 2020
720
1,299
Nilikuwa napitia taarifa za msanii Nandy, japo kuweza kujua wasifu wake. Nilipofika hiki kipengele nilishindwa kukielewa kwa kweli. Maana hapa zinazungumziwa controversies za Nandy Ila maelezo ni ya ishu za Diamond. Sioni hizo controversial moments zaidi ya kusifiwa. Hivi Harmonize kumbe jina jingine anaitwa Rayvanny ?

Management za wasanii, mnakwama wapi kuhakikisha taarifa za wasanii wenu mitandaoni zinaenda sambamba na mafanikio ya wasanii wenu ? Moja ya sehemu za kuwabrand wasanii wenu kimataifa ni sehemu kama hizi.
Screenshot_2020-04-12-07-03-03-489_com.android.chrome-01.jpeg
 
Wanafeli sana hawa wanaomanage huu upande...ndio maana hujaona credible sources/citations....hawa wamezoea kupost ubuyu insta wameenda hadi wikipedia kuupost, kama hapo most streamed artist let say kwenye boomplay walitakiwa kuandika full adress yakuretrieve hiyo page inayomuonyesha nandy kama the topper!! Wikipedia kama story ya lakwanza bhana, wanamuaibisha nandy wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mwandishi kaniacha hoi hapo alipomtaja harmonize Kisha akaweka mabano na kuandika Rayvanny as if ni mswanii mmoja Ila hilo ni jina lake jingine.
 
Uzuri wa Wikipedia ni kwamba kila mtu anaweza ku-edit na kila mtu anaweza ku-review. Sasa wasanii wadogowadogo kama Nandy unakuta ata mtu akiandika upupu hakuna atakae kuja ku-review kwasababu hakuna anae msoma.

Nimefuta huo upuuzi walioandika na kuwataja wakina Harmonize Platnumz Jux etc.

Hawa wasanii wanatakiwa katika crew member wake wawe na mtu wa ku control online sources na social networks. Mfano Diamond, uki edit ujinga page yake ya Wikipedia ndani ya Nusu Saa utakuta wamefuta ujinga ulioandika. Wako Fasta.

Screenshot_2020-04-12-09-00-54-285_com.android.chrome.jpg
 
Uzuri wa Wikipedia ni kwamba kila mtu anaweza ku-edit na kila mtu anaweza ku-review. Sasa wasanii wadogowadogo kama Nandy unakuta ata mtu akiandika upupu hakuna atakae kuja ku-review kwasababu hakuna anae msoma.

Nimefuta huo upuuzi walioandika na kuwataja wakina Harmonize Platnumz Jux etc.

Hawa wasanii wanatakiwa katika crew member wake wawe na mtu wa ku control online sources na social networks. Mfano Diamond, uki edit ujinga page yake ya Wikipedia ndani ya Nusu Saa utakuta wamefuta ujinga ulioandika. Wako Fasta.

View attachment 1416979
Bora umemsaidia. Ungeenda mbali zaidi kwa kumtoa Diamond kwenye hii controversy section. Maana as it is seems Diamond na huyo Nandy walikuwa kwenye hiyo video pamoja.
 
Mimi hili suala nilitakaga kuliandikia Uzi kuhusu Wikipedia information za wasanii wetu...Wikipedia hasa ya lugha
ya kiingereza ni sehemu ya msanii
kujitangaza kimataifa kwakuwa mtu
anaposikia jina LA msanii Fulani kutoka
Tanzania au mahali popote lazima
kwanza aende Wikipedia amjue zaidi
kuanzia Early life,career life,Albums na
information zote ikiwemo awards and
nomination sasa wasanii wetu hawa
hawana habari kabisa utakuta wikipedia
imeandikwa kisanii sana mfano hata Huyo diamond information za muhimu
hazijawekwa kwa mfano tuzo ya
mwisho kuchukua diamond inaonekana
ni mwaka 2014(mpka Mara mwisho
nilivyoangalia Mimi)....Early life
hawajamuelezea shida alizopata na
mama yake enzi hizo,hawajaelezea
kuunda WCB,hawajamgusia harmonize
na wasanii wengine wa karibu( hivi
unaweza kumzungumizia diamond bila
wasanii wake!?)...collaboration na
wasanii wakubwa hawajazungumzia,rekodi alizoweka hawajazungumzia ikiwemo ya 900 million in YouTube,subscribers wengi na mambo kibao tu..sio yeye tu hata Alikiba page yake wameielezea kisanii sana tuzo alizoshinda nyingi hazipo,rekodi alizoweka na vitu kibao vya muhimu hawajaweka..Wikipedia za wasanii wetu zinaandikwa kimaghumashi sana utakuta Wikipedia imeandikwa Fulani Fulani common known by his stage name xxx is Tanzanian music artist born in *** wanaishia hapo wamemaliza sometimes hata picha hakuna yaani information za wasanii wetu Wikipedia zero kabisa
 
Mkuu pia wasaidie kukorect Grammar..

She is has been.... Hamna hiyo
Pamoja. Nikipataga muda nafanyagafanyaga. Nakumbuka enzi Diamond anaanza tumeshinda sana kwenye page yake. Ila shaivi level zingine hakuna ata haja ya ku edit nadhani kuna mtu analipwa kwa iyo kazi
 
Back
Top Bottom