abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Habar wadau
Leo katika pita pita zangu nimefanikiwa kumsikia meneja wa Kitengo cha huduma kwa Wateja akifafanua juu ya bei ya vifurush na punguzo walilo toa
Kusema kweli Azam wanajiona wao smart Sana alafu watanzania wote tunao tumia vidurush vyao wajinga
Azam katangaza kupunguza bei ya vidurush wakat ukwel ni kwamba ameongea bei kwenye vidurush na kingamuz cha azam ili kiwe na maana lazima ununue kifurush cha sh20000 ili uweze kuangalia mipira na Channel zingine za kawaida na ukilipia 13000 utaweza kuangalia azam 1 na two pekee na sinema zetu huto weza kuangalia mchezo wowote na ukilipia elf 8 ambayo ilikua elf 10 huto Pata hata azam one two wala sinema zetu
Kama unaakili utangundua azam wamepandisha bei vifurush na wala hawajapunguza chochote kile mim binafs huu naona ni utapel