Hivi akina Pele, Maradona, Zidane Messi na Ronaldo hawawezi 'Kumshtaki' kwa Mungu Clatous Chota Chama kwa 'Kipaji' kikubwa anachokimiliki?

TFF imeamua kua ile "Assist" itakua na Value sawa na "Assist" 20 za kawaida. So CCC ndo anaeongoza kwa assist now.
Hata huko ulaya na America huwa anatafutwa mwenye assist bora km lilivyo goal bora la msimu. ACHA AKILI YKO IFANYE KAZI. Weka makamac yako pembeni
 
Back
Top Bottom