Hivi akina Nyerere, Lumumba, Nkurumah, Kaunda, Samora Machael na Mandela wangekuwa hivi Afrika ingekuwaje leo?

Viongozi wa zamani walikuwa watu wenye busara na hekima sana.

Imagine Mandela kufungwa na makaburu miaka 27 ametoka amekuwa raisi lakini hakufanya retaliation yoyote. Mkewe kaolewa kwingine lakini hakuwa na chuki yoyote. Mungu amlaze mahali pema Mzee Madiba.

Ingekuwa jiwe angawachinja na kuwanywa supu.
 
Mi naona kwanza wanaviherehere wangeacha tuendelee tuu kutawaliwa at least mpaka 2100.
Bora wazungu kuliko hawa majangili weusi.
 
Viongozi wa zamani walikuwa watu wenye busara na hekima sana.

Imagine Mandele kufungwa na makaburu miaka 27 ametoka amekuwa raisi lakini hakufanta retaliation yoyote. Mkewa kaolewa kwingine lakini hakuwa na chuki yoyote. Mungu amlaze mahali pema Mzee Madiba.

Ingekuwa jiwe angawachinja na kuwanywa supu.

Ila Mandela ni Mvumilivu na Mwanamume wa kweli Mkuu. Yaani ' Mbunye ' ya Mkewe ' ilitumika ' na ' Masela ' kwa miaka yote 27 lakini alivyotoka tu Kifungoni ' Robben Island ' akamsamehe kabisa. Kwa Mimi GENTAMYCINE ninavyojijua ningemmaliza tu Yule Mama ili nirudishwe sasa milele / maisha Gerezani hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwangu. Nifanyie vitu vyote nitakusamehe ila siyo ' Kunikanyagia ' ama Demu au Mke wangu hapo ndipo utanitambua kwanini natokea Mkoani Mara ( Musoma ) na sitokei wa Washamba / Mambwigira huko Mikoani Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma kwa Warangi.
 
Picha inaungua kila nikiisaka negative yake.

Ila pengine hata tusingezaliwa kabisa, kwa ugumu wa maisha, wazee wetu wangetumwaga CHOONI/BAFUNI/VICHAKANI kwa kupiga PUNYETO.
 
Ila Mandela ni Mvumilivu na Mwanamume wa kweli Mkuu. Yaani ' Mbunye ' ya Mkewe ' ilitumika ' na ' Masela ' kwa miaka yote 27 lakini alivyotoka tu Kifungoni ' Robben Island ' akamsamehe kabisa. Kwa Mimi GENTAMYCINE ninavyojijua ningemmaliza tu Yule Mama ili nirudishwe sasa milele / maisha Gerezani hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwangu. Nifanyie vitu vyote nitakusamehe ila siyo ' Kunikanyagia ' ama Demu au Mke wangu hapo ndipo utanitambua kwanini natokea Mkoani Mara ( Musoma ) na sitokei wa Washamba / Mambwigira huko Mikoani Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma kwa Warangi.
Una uhakika kwamba Mandela alimsamehe Winie ? Mbona walitengana. Unaweza kusema Graca Machel alikuwa anafanya nini kwa Mandela ? Hata hivyo, kiuhalisi miaka 27 ni mingi mno kwa Winie na urembo wote ule kukaa kusubiri mtu ambaye tayari Makaburi walikuwa mameishamfanya makisia.
 
Ila Mandela ni Mvumilivu na Mwanamume wa kweli Mkuu. Yaani ' Mbunye ' ya Mkewe ' ilitumika ' na ' Masela ' kwa miaka yote 27 lakini alivyotoka tu Kifungoni ' Robben Island ' akamsamehe kabisa. Kwa Mimi GENTAMYCINE ninavyojijua ningemmaliza tu Yule Mama ili nirudishwe sasa milele / maisha Gerezani hadi Kufa kama siyo Kufariki Kwangu. Nifanyie vitu vyote nitakusamehe ila siyo ' Kunikanyagia ' ama Demu au Mke wangu hapo ndipo utanitambua kwanini natokea Mkoani Mara ( Musoma ) na sitokei wa Washamba / Mambwigira huko Mikoani Kagera, Singida, Kigoma na Dodoma kwa Warangi.
Duh ngoja wahusika wa hiyo mikoa waje hapa kupambana na wewe.
 
Mi naona kwanza wanaviherehere wangeacha tuendelee tuu kutawaliwa at least mpaka 2100.
Bora wazungu kuliko hawa majangili weusi.

Naungana nawe kwa 100% Mimi nilipenda sana Waafrika tuendelee ' Kutawaliwa ' na Wazungu / Wakoloni hadi ' Kiama ' kitakapokuja kwani bado mpaka leo hii pamoja tumejitawala wenyewe lakini ' Upopoma / Upumbavu ' ndiyo umetuzidi na sasa umeshaanza Kutuzoea kama siyo Kutukomaa kabisa.
 
Hao wengine we sijui ila huyo wa kwanza alikuwa
1. Mnafiki

2. Mkatili

3. Mbabe

4. Mbinafsi

5. Mabishi

6. Hana Utu

7. Hana Upendo wa dhato na kutoka Moyoni
Hizo sifa huwezi jua kama anazo endapo tu
1.Utamuuliza mwanachi wa kawaida
2.Utamuuliza kiongozi ambaye yuko madarakani
3.Kiongozi mstaafu aliyewahi shika madaraka makubwa ambaye yupo CCM.
 
Duh ngoja wahusika wa hiyo mikoa waje hapa kupambana na wewe.

Tena kama basi kuna Wanaume ambao ni Washamba / Mambwigira kabisa na wanaongozwa kwa kupelekwa pelekwa na Wanawake zao na hadi wengi Wao huwa ' wanapigwa ' na hata Kuamrishwa Kupika, Kufua na Kukogesha Watoto ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba pamoja na Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ) na Warangi ( Dodoma )

Umeshaona Mwanamume wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) anapelekeshwa hovyo na Mwanamke? Huyo Mwanamke hajitaki au?
 
Hao Watajwa hapo laiti wangekuwa:

1. Wanafiki
2. Wakatili
3. Wababe
4. Wabinafsi
5. Wabishi
6. Hawana Utu
7. Hawana Upendo wa dhato na kutoka Moyoni

Leo hii bara la Afrika na Waafrika tungekuwaje?

Nawasilisha.
Hivyo vitu vyote ulivyovisema watawala wote Duniani lazima wawe navyo kwa kiasi maana wasipokuwa navyo watashindwa kutawala nchi zao,mfano nchi ya Tanzania kwa sasa inapambana kuingia atua nyingine ya maendeleo ambapo inatakiwa kufunga mkanda anatokea mtu mmoja anasema kazi na bata, mmtu huyu alikuwapo Serikalini kwa kwa zaidi ya muongo mmoja na alishuhudia watoto wameshindwa kujiunga na shule za msingi na Sekondari kwaajili ya ada, lakini leo hii watu wanasoma tena kwa kiwango kikubwa anataka kutuludisha kwenye bata ambazo yeye alikuwa akizipata, hapo ningekuwa Rais wa Tanzania lazima ningekuwa na sifa kama hizo ili Taifa langu liendelee
 
Hao wengine we sijui ila huyo wa kwanza alikuwa
1. Mnafiki

2. Mkatili

3. Mbabe

4. Mbinafsi

5. Mabishi

6. Hana Utu

7. Hana Upendo wa dhato na kutoka Moyoni
Hizo sifa huwezi jua kama anazo endapo tu
1.Utamuuliza mwanachi wa kawaida
2.Utamuuliza kiongozi ambaye yuko madarakani
3.Kiongozi mstaafu aliyewahi shika madaraka makubwa ambaye yupo CCM.

Kama unataka huu ' Uzi ' uharibike na ' Moto ' uwake hapa hadi ujute kuifahamu hii ' ID ' endelea Kumsema vibaya Mwalimu Nyerere ambaye wenye akili hadi leo tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa Kutuumbia Mtu kama Yeye ambaye bado hajatokea tena na pia anaweza hata asitokee tena si tu Tanzania bali Afrika Mashariki, Afrika na duniani / ulimwenguni kwa ujumla. Na ukiweza tuombe upesi sana radhi / msamaha Sisi ' Team Mwalimu Nyerere tuliotukuka ' kabisa wakiongozwa na Mimi GENTAMYCINE mwenyewe. Sasa ole wako usifute Kauli au urudi tena na ' Upuuzi ' wako wa Kumuhusu Hayati Nyerere ndipo utanijua vyema. Umenikera!
 
JULY 13TH 2013?
NILIKUWA SIJAMALIZA
Ukitaka usizipata hizo sifa basi Waulize 1.RC
2.WAZEE AMBAO HAWAKUSOMA
3.VIJANA MALIMBUKENI KAMA WEWE MLIOZOEA KUTAFUNIWA.
NB:HUNA UWEZO WA KUNIFANYA KITU CHOCHOTE. TENA NITUMIE MOJAWAPO YA KAULI YA UBISHI ALIYOTUMIA HUYO KIPENZI CHAKO BAADA YA VITA YA KAGERA
"IT IS OVER MY DEAD BODY"
 
We're glad to have a ' NEW CERTIFIED FOOL ' on board. You're welcome!
 
Back
Top Bottom