Hivi akina Mbowe wanaendelea kusota rumande kwa kukomolewa?

Nami nawauliza wajuvi wa sheria na sio mabush lawyer kuwa, hivi ile kauli ya mfunguzi wa maktaba pale mlimani haiwezi kuibatilisha kesi na kuiondoa mahakamani baada ya kuingiliwa mwenendo wake na mtu mkubwa sana?
Kuna sehem yyt alimuongelea Mbowe na matiko?Umeambiwa usipobehave utaishia gerezani na ndio fact zenyewe. Ni sawa na kusema ukiiba utafungwa hapa hakuna cha kuingilia Mahakama coz ndio ukweli wenyewe
 
Mimi nimekupa ushahidi halisi lakini wewe unaleta hisia.

Kwa nini Mdee apate ruhusa kwenye kesi hiyohiyo kama hoja yako ni muhimili kujichimbia?

Mbowe na Matiko walitaka kufanya siasa kwenye mahakama lakini kwa bahati mbaya sheria hazina siasa!

Hili liwe ni funzo kwa wengine.
Kwanini mwendesha mashtaka kakataa kusikilizwa rufaa?
Hapo ndio tumeona mkono wa serikali ulivyoingia!
 
Sifa kuu za kua mwana ufipa. 1. Lazima uwe kijana mjinga mjinga. 2. Lazima, lazima, lazima uwe na uwezo mdogo sana wa kung'amua vitu ( asili ya jina la ubatizo NYUMBU). 3.lazima uwe kijamaa flani hivi ki_ zuzu, kizushi, 4. Lazima tu uwe ni kakijana ka hovyo hovyo. 5. Lazima, nasema ni lazima uwe kajamaa flani hivi kabinafsi.
 
Kuna sehem yyt alimuongelea Mbowe na matiko?Umeambiwa usipobehave utaishia gerezani na ndio fact zenyewe. Ni sawa na kusema ukiiba utafungwa hapa hakuna cha kuingilia Mahakama coz ndio ukweli wenyewe
Misuli, nakukataa from the first place! Wewe ni mwanasheria? Nawahitaji kina Mselewa, pascal, et al wanijibu. Hakuna siasa hapa.
 
Spika kujua kuwa Ester Matiko yuko kwenye ziara ya kibunge haina maana yoyote kwenye Mahakama. Kumbuka Mahakama ni muhimili mwingine unaojitegemea ambao una sheria na taratibu zake.

Fundisho alilopata Ester Matiko ndilo ambalo ametumia Mdee kama darasa.
Nini jukumu la mdhamini na nini nafasi/uzito wa taarifa itolewapo juu ya mshitakiwa na mdhamini? Ushabiki usio na msingi kwenye masuala nyeti si mzuri. Leo ni wale,kesho ikiwa zamu ya wale kusije onekana visasi!
Zuma ,Bagbo,Habre na Chiluba wawe mifano ya kututahadharisha kuwa "dunia duara".
 
Spika kujua kuwa Ester Matiko yuko kwenye ziara ya kibunge haina maana yoyote kwenye Mahakama. Kumbuka Mahakama ni muhimili mwingine unaojitegemea ambao una sheria na taratibu zake.

Fundisho alilopata Ester Matiko ndilo ambalo ametumia Mdee kama darasa.
Muhimili kujitegemea iko kinadharia zaidi sio ki hali halisi,wote paymaster ni mmoja,na huwezi kwenda kinyume na akulipae
 
Spika kujua kuwa Ester Matiko yuko kwenye ziara ya kibunge haina maana yoyote kwenye Mahakama. Kumbuka Mahakama ni muhimili mwingine unaojitegemea ambao una sheria na taratibu zake.

Fundisho alilopata Ester Matiko ndilo ambalo ametumia Mdee kama darasa.
Are a bush lawyer o somethin??
 
Mbona mahakama inaingilia kesi za kisiasa
Mimi nimekupa ushahidi halisi lakini wewe unaleta hisia.

Kwa nini Mdee apate ruhusa kwenye kesi hiyohiyo kama hoja yako ni muhimili kujichimbia?

Mbowe na Matiko walitaka kufanya siasa kwenye mahakama lakini kwa bahati mbaya sheria hazina siasa!

Hili liwe ni funzo kwa wengine.
 
Christmas watailia Segerea, unakumbuka suala Lema, litajirudia.. ni michezo tu ya kisheria ndio inafanya kazi
 
L6sK2NAn_400x400-2.jpg
 
Back
Top Bottom