Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpaka wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.
Mbona mimi nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia. Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?
Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.
Mimi nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?