Hivi akina dada ambao hamjaolewa mna laana ama? Mbona mimi nina wachumba 10?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,569
50,393
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpaka wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.

Mbona mimi nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia. Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?

Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.

Mimi nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?
 
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpk wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.

Mbona mm nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia.

Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?

Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.

Mm nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida....yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?
itafika zamu yako na wewe watakukazaaaa mpaka wachoke alafu wataenda kuoa wanawake wengine ....trust me HAKUNA KIUMBE DUNIANI HATABIRIK KAMA MWANAUME....
 
Basi sawa mkuu ila kuna wale wakina shake well before use ni watata sana
Mtata mkuu namwaga mapema, halafu anatafutwa mbadala mwenye subira. Atakayeyavumilia masharti mpk mwisho ndiyo atapewa nafasi ya kunywa maji matamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom