Hivi akina dada ambao hamjaolewa mna laana ama? Mbona mimi nina wachumba 10?

very funny unavyowaita wenzako wasio na mchumba hata mmoja kuwa hawana maadili lakini wewe mwenye wachumba 10 ndo unayomaadili. How ironic!
 
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpk wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.

Mbona mm nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia.

Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?

Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.

Mm nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida....yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?

Kila mtu ana riziki yake...na hamna anaeijua kesho!!
Kwaio usiwaseme wenzako vbaya sisi n binadam hatuna uwezo wa kujua kesho zetu ztakuwaje
 
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpk wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.

Mbona mm nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia.

Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?

Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.

Mm nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida....yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?
wewe ulielelewa vizuri, binti mwenye maadili una wachumba kumi !!!!!!!!!!!!
 
Usidanganyike hao wote ni wadanganyifu kuna kitu wanatafuta kwako wakishapata hakuna mwoaji hapo.Chunga sana
 
Mkuu kumbe wewe ni dent tu
Sheria za uchumba unazijua kwelii..
Unataka kuniambia hao wote 10 wanatambuliwa na wazazi wako...na umeshatangaza nia ..!?

Sema una madangaa/masponsor na vitu vingine kama hivyoo ...
Kwa namna wanavyoshoboka hawachomoki hawa mkuu.
 
Usidanganyike hao wote ni wadanganyifu kuna kitu wanatafuta kwako wakishapata hakuna mwoaji hapo.Chunga sana
Kitu wanachokitaka kwangu ni uchumba tu mkuu hakuna kingine. Mambo ya kikubwa nimewapiga stop na hakuna anayeleta bughudha juu ya hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom