Hivi akina dada ambao hamjaolewa mna laana ama? Mbona mimi nina wachumba 10?

Mwakani tu nachagua mmoja kati ya hao kumi kisha naolewa. Sina haja ya kungojea majuto
wasi wasi wangu ni unaweza ukawa umeloea kwenye huu ukumi ukumi na ukajikuta bado una vidumu hata baada ya kuolewa..
jiulize je kua nao kumi ni wewe kupenda au huwezi kujizuia unajikuta umekua mama huruma kila anaekutokea na vimistari unajikuta umeingia kingi..
kama unaweza kuamka kesho na ukaamua bila kurudi nyuma kwamba unabaki na mmoja kati ya hao kumi+ basi upo hatua moja mbele...
 
Nani kakwambia kuwa ili kuchumbia lazima utangulize pqpuchi? Mm siyo wa type hiyo. Nimewasubirisha wote kwa masharti makali ikiwemo kutoiona pqpuchi mpk ndoa
hehehehe duu kweli unayaweza...ukiona wakikumbali kirahisi hivyo kutoioja papuchi basi ujue kuna mahala wanapata hio papuchi...au niseme like attract like...
 
USIDANGANYE NA KIUZI CHA AJABU,HATA SIKU MOJA HAKUNA MWANAMKE MWENYE WA CHUMBA KUMI,KAMA YUPO BASI NI MJASIRIA MALI WA KUJITEGEMEA.
 
Ukiolewa ndio uje useme hayo. Watu wanakimbiwa siku ya harusi, unajisifia uchumba.
 
Kwa hiyo hii ni uthibitisho kuwa utaolewa??






We kweli sexless leo una jinsia KE
 
Nazungumzia wachumba kwa maana ya wachumba. Nina akili timamu mkuu, sijavuta wala kutumia madawa ya kulevya. Niko vizuri kichwani.
Unakuwaje na wachumba 10 alafu unadai haujavuta?? Unanithibittishia kuwa ulichovuta ni kitu sio cha nchi hii, usikivute tena!
Narudia tena, unajua maana ya wachumba?? MCHUMBA??
au unajua maana ya uchumba??
Au labda nikuulize, umeshavalishwa pete na wanaume 10 kama ishara ya wanaenda kukuoa??

WEWE NAFIKIRI UNAMAANISHA WANAOKUTIA AU WANAOKUFUKUZIA WAKUTIE, AU WANAOKUTONGOZA KWA UJUMLA. KILA MWANAMKE ANATONGOZWA.
 
Ugumegume umekuzoea, pole shosti yangu.
Na kwa taarifa yako mwanamke kuoa ni aibu. Mwanamke shurti upendwe na kutafutwa mwanakwetu. Umekosa wa kukutongoza had I utongoze wewe na kumuoa mwanaume. Pyuuuuu!
Halafu kuoana ni ulaya

Hahahahaha ww kweli Zilipendwa eti kuoana Ulaya.... endelea na mawazo yako ya kimaskini wenzio wanachanja mbuga.

Dume zima hovyooo kujitia ujike wakati unagoroli mbili au ndio wale wale wakina James delicious.... lol
 
Huku si ndio wanaita kutukana mamba kabla hujavuka mto?

Be humble mkuu. Jifunze humility.
 
unawasema wenzio kulelewa kwenye maadili ya hovyo wewe mwenye maadili una mabwana 10 duu.

ila ukweli wewe huna cha wachumba unajifariji tu ni miungoni mwa madunga embe wajao. alafu wanaume tunaweza ahidi hata uwaziri tukiwa tunafatilia kipochi manyoya.

bado una safari ndefu kupata mume, watu wametolewa kishika uchumba ile kuachia uvungu tu hawamuoni mume tena
 
Hongera
Acha sisi wengine tupambane na hali zetu.
Halafu kumbe ni wachumba tu hata ndoa hakuna.
Wanaume wasiku hizi hawaaminiki anaweza akawa mchumba kalipa kila kitu na ndoa usiione.
Wengine wanaolewa kabisa kumbe wanaume wenyew matapeli tu huko ndoani kama yupo jela au utumwani.
Kalaghabao!!??
 
Huwa tunaingia na gia ya kuoa tu ila ukweli tunataka papunch yako tu maana nw ww unavutia bd mbich
 
Mapenzi ni sehemu ya maisha, yawepo ama yasiwepo yapasa maisha yaendelee kwa mambo mengine muhimu ya maisha.
Jiulize kama ndoa ni muhimu kwa kila mtu inakaaje kwa Makhanisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom