Hivi AKIBA bank tawi la Moshi ni la Wanafunzi wa MUCCOBS tu au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi AKIBA bank tawi la Moshi ni la Wanafunzi wa MUCCOBS tu au?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by njoro, Mar 5, 2011.

 1. njoro

  njoro Senior Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tawi la Akiba bank la Moshi limekuwa na tabia ya kuwapendelea wanafunzi wa MUCCOBS kwa muda mrefu sasa,ofisi imeja graduates kutoka chuo hiki na hata kwenye upande wa field practical training wanafunzi kutoka vyuo vingine huwa wanaambiwa haturuhusu field students kumbe ni janja ya kuwapendelea students wa MUCCOBS. WanaJF nawasilisha
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa cfa gan ya ziada hao wanafunz wa muccobs walio nayo labda had wapendelewe?
   
 3. F

  Florian Mshanga Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hakuna ukweli wowote kuhusiana hilo.
   
 4. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu,miaka kama mitatu iliyopita wakati naishi bado moshi hiyo kitu ilikuwapo sana,kuna kitu kama kuunganishiana sana ila kiukweli ni kuwa waajiriwa wengi wa hapo wamemaliza Muccobs,by the way mkuu moshi si mji wa kuishi ukadhani utafanikiwa kirahisi hama haraka
  njoo dar maisha yapo huku na haman mambo ya kupendeleana kijingjinga......ifwact nimezimia jina lako linanikumbusha mbali saana mkuu
   
 5. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ukiweza kuishi moshi utaishi pia new york marekani!
   
Loading...