Hivi ajira zile mpya kwa ambao hawakuripoti nafasi zao pdf la replacement linatoka baada ya muda gani?

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Nauliza wale ambao hawakuripoti maana najua hawawez ripoti wote,,sasa majina mapya watakaoreplace yanatoka baada ya muda gani?
 
Nauliza wale ambao hawakuripoti maana najua hawawez ripoti wote,,sasa majina mapya watakaoreplace yanatoka baada ya mda gani..??
Nimependa sana matumaini yako.

Yaani katika watu zaidi 6,000 waliopata kazi hukufanikiwa. Lakini bado una matumaini kuwa kati ya 40 ambao hawajaripoti, jina lako linaweza kupewa kipaumbele.

Mungu aendelee kukusimamia.
 
Nimependa sana matumaini yako.

Yaani katika watu zaidi 6,000 waliopata kazi hukufunakiwa. Lakini bado una matumaini kuwa kati ya 40 ambao hawajaripoti, jina lako linaweza kupewa kipaumbele.

Mungu aendelee kukusimamia.

Amina
 
Back
Top Bottom