Hivi ajira BoT huwa zinapatikanaje? Sifa mojawapo ni ukubwa wa jina au?

Kitila Mkumbo

JF-Expert Member
Feb 25, 2006
3,353
1,935
Nauliza hili swali baada ya kukutana na hii list ya baadhi ya waajiriwa wa BoT, nikarudi nyuma, sikupata jibu. Labda hawa wote ni kwamba wana interest sana kufanya kazi BoT! Hebu tafakari na wewe!

Pamella Lowassa,
Filbert Frederick Sumaye,
Zalia Kawawa,
Harieth Lumbanga,
Salama Ally Mwinyi,
Rachael Muganda,
Sylvia Omari Mahita,
Justina James Mungai,
Kenneth John Nchimbi,
Blassia Blassius William Mkapa,
> Violeth Phillemon Luhanjo,
Liku Irene Katte Kamba,
Thomas Mongella,
Jabir
Abdallah Kigoda
 
Kitila Mkumbo
JF Senior Expert Member

Hivi ajira BoT huwa zinapatikanaje? Sifa mojawapo ni ukubwa wa jina au?
-----------------------------------------------------------------

Nauliza hili swali baada ya kukutana na hii list ya baadhi ya waajiriwa wa BoT, nikarudi nyuma, sikupata jibu. Labda hawa wote ni kwamba wana interest sana kufanya kazi BoT! Hebu tafakari na wewe!

Pamella Lowassa,
Filbert Frederick Sumaye,
Zalia Kawawa,
Harieth Lumbanga,
Salama Ally Mwinyi,
Rachael Muganda,
Sylvia Omari Mahita,
Justina James Mungai,
Kenneth John Nchimbi,
Blassia Blassius William Mkapa,
> Violeth Phillemon Luhanjo,
Liku Irene Katte Kamba,
Thomas Mongella,
Jabir
Abdallah KigodaMkuu Kitila,

Heshima mbele mkuu, siku hizi umeadimika mkuu kulikoni? Anyways, hawa vijana lets assume wanazo qualifications za kufanya kazi huko, lakini this is pathetic, BOT sio siri ni kitengo kinacholipa mishahara, kuliko kitengo chochote bongo, sasa hawa kurundikana huko tena mchana kweupeee bila hata ya aibu?

Na ahsante sana mkuu, kwa kutuhabarisha hili!

Kwa kweli hiii nchi ni ya kuiombea sana kwa Mungu!
 
Wanawekwa huko ili siri zisi vuje, na mishahara minono, wengine nendeni mm-gombe 65,000 kima cha chini cha wafanyakazi wa bar na mashambani.
 
Mkuu Kitila,

Heshima mbele mkuu, siku hizi umeadimika mkuu kulikoni? Anyways, hawa vijana lets assume wanazo qualifications za kufanya kazi huko, lakini this is pathetic, BOT sio siri ni kitengo kinacholipa mishahara, kuliko kitengo chochote bongo, sasa hawa kurundikana huko tena mchana kweupeee bila hata ya aibu?

Na ahsante sana mkuu, kwa kutuhabarisha hili!

Kwa kweli hiii nchi ni ya kuiombea sana kwa Mungu!

Nipo mkuu. Nami I hope wote hawa wana qualifications! Lakini kwa kweli ni kazi sana kupambana na ufisadi hapo BoT kama hali yenyewe ndio hii!
 
Nilipoipost hii list hapa last week, sikujua ni kwanini wanapeana wenyewe kwa wenyewe but baada ya bomu la urafiki kulipuka jana- the reasons are very obvious.Hii list iko directly associated na ufisadi,labda hawa watoto wanatumiwa bila kujijua au wanajua lakini inabidi wakae kimya kulipa fadhila.Watoto hawa infact walitakiwa wasifanye kazi kabisa au kama wakifanya wakafanye kwenye makampuni ya wazazi wao, their parents are billionaires. Hapa kuna uozo mkubwa na hapa Balali mwenyewe ninahakika atakua anazifumbia macho gross misconducts kibao za wafanyakazi wake.
Huu ni mlolongo tu wa ubinafsi, kuna kaji atitude among hawa wazito kwamba "as long as me and my family are OK- I dont give a s..t".Kaka Mkumbo kama una haka ka attitude, unamilikiki hisa kwenye makampuni zaidi ya matatu, wanao wako BOT,TRA au wanasomeshwa Havard au Oxford na Wazungu hata deal la Buzwagi likisainiwa na serikali kuambulia 10%( baada ya kudakishwa chako gizani)- kwao wanaona inatosha tu.
 
Vibosile's syndicate at BOT to loot monies of the wananchi wa Bongo. Lakini malipo ni hapa hapa.
 
...pathetic lakini hao wote wana qualifications za kufanya kazi hapo,lakini mnategemea nini wakati shule zote nzuri US & europe wao ndio wanapelekwa na waajiri wana influence na baba zao sasa mlitaka wanye kazi sumbawanga...hizi ndio remnants effects za culture ya ufisadi na hao watoto hawana kosa lolote maana wamesoma ingawaje inawezekana kazi ni influence ya wazee wao ingawaje inaweza isiwe kweli....tabu yote inaanzia Elimu ya juu mana scholarship zote ni za watoto wa wakubwa sasa mlitegemea graduate wa yale na mlimani nani apewe kazi kwanza
 
Nauliza hili swali baada ya kukutana na hii list ya baadhi ya waajiriwa wa BoT, nikarudi nyuma, sikupata jibu. Labda hawa wote ni kwamba wana interest sana kufanya kazi BoT! Hebu tafakari na wewe!

Pamella Lowassa,
Filbert Frederick Sumaye,
Zalia Kawawa,
Harieth Lumbanga,
Salama Ally Mwinyi,
Rachael Muganda,
Sylvia Omari Mahita,
Justina James Mungai,
Kenneth John Nchimbi,
Blassia Blassius William Mkapa,
> Violeth Phillemon Luhanjo,
Liku Irene Katte Kamba,
Thomas Mongella,
Jabir
Abdallah Kigoda
Na mwanao atapata sasa!!
 
Tusaidie kuuliza huko juu simnakaa kiti kimoja sikuhizi Mheshimiwa?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom