Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

Gari Moshi ndio limejaa!
Juzi nilikuwa kijiwe flqn cha wazee wa kaskazini wakawa wanasema kwann magu hakujenga SGR kwenda Kaskazini pengine serikali ingeanza kupata chambi msimu huu wa sikukuu

Kwanza ni kipande kifupi zaidi kingechukua muda mfupi kukamilika na chambi inge flow mapema. Nikaona ni reasonable kama wame weza kujaza mabehewa mapema ivi
 
Wakuu,

Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.

Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?

View attachment 1655205
Mbona Tunazo ndege nyingi ? . Kwanini Air Tanzania yetu wasiengeze ndege zaidi ktk iyo route yenye abiria wengi.? Na hata tunazo Dreamline yenye kubeba Abiria zaidi ya 200. Nadhani uongozi wa ATC Bado hawajaamka...
 
Sasa wakiruhusu zote, habari ya kwamba ndehe zimejaa itatoka wapi? Habari inatakiwa isambae kwa kasi kua ndege zimejaa ili asifiwe mkuu. Propaganda hizi hazita tufikisha mbali.
 
Mbona Tunazo ndege nyingi ? . Kwanini Air Tanzania yetu wasiengeze ndege zaidi ktk iyo route yenye abiria wengi.? Na hata tunazo Dreamline yenye kubeba Abiria zaidi ya 200. Nadhani uongozi wa ATC Bado hawajaamka...
Mzee kumbuka zinarudi tupu
 
Mbona wamefanya usanii kule Chato,wanataka kupeleka Ndege sehemu ambayo haina. abiria/porini (Kijiji Cha wavuvi) ili ionekane kuwa,uwanja haukujengwa kimakosa.
Kwahiyo ukiwa mvuvi na kwakuwa unaishi porini huwezi kupanda ndege!kinachoangaliwa mkuu ni pesa sio mazingira wala aina ya kazi ya walengwa...
 
Yaani Wachagga kujaza ndege kwenda Moshi ni usanii??

Huo ni ukweli ndege zimejaa
 
Back
Top Bottom