Hivi Air Tanzania kipya kinyemi ndio wamedump ndege ya zamani?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,270
2,000
Dalili za ufanisi zinajionyesha tangu mwanzo. kabla ya kuja bombadier mbili air tanzania walikua wanarusha ndege moja tu aina ya dash... ya kiholanzi. tulifikiri baada ya kuwasili bombadier mbili wangekua wanarusha ndege tatu. la ajabu wame neglect ile moja ya zamani eti mbovu. ina maana wasingepata hizo mbili wangefunga ofisi kwa kukosa ndege. nawashauri atcl kabla ya kupokea bombadier ya tatu waoneshe umahiri kwa kuhakikisha ile ndege nyingine ya tatu inaruka au waeleze hatima ya ndege hiyo. huwezi kutegemea ndege mpya tu ndio uweze kujidai hewani.
 

LWENYI

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,755
2,000
kwani ile si ilikua ya kukodi? labda washarudisha kwa mwenye nayo.
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,653
2,000
Wazo zuri,ila ujuwe kuwa ile ni biashara na biashara inataka ukifanya upate faida,sasa sijui kwanini hawaitumii ile ya zamani, lakini lazima kutakuwa na sababu za msingi za kutoirusha,nijuavyo mimi chombo cha moto kinapokuwa kimechakaa,gharama zake za uendeshaji huwa zinakuwa juu sana,sitaki niwasemee ila ngoja tusubirie hoja zao...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom