Hivi agenda ya Bwana Reginald Mengi in ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi agenda ya Bwana Reginald Mengi in ipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Jul 27, 2012.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi nikisoma The Guardian naona picha ya Mengi na balozi wa nchi nyingine wakifanya mazungumzo. Caption ya picha haisemi mazunguzo gani zaidi tu ya balozi amefanya 'courtesy visit' kwa Mengi!! Je, hayo mazungumzo yanahusu nini hasa?
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mengi ni zaidi ya unavyofahamu,angalia tuzo aliyopewa hivi karibuni ya mfanyabiashara mwenye kusaidia jamii inaonesha ni mtu wa watu hivyo balozi kwenda kwake kumtembelea ni jambo la kawaida.
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mengi ana Mengi, waulize wanaomjua watakwambi.
  Moja wapo ni kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali
   
 4. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huu umbeya nahisi MMU mbali, kwani Mengi na Klyn wameshapata mtoto? Maana nilisikia bibie kavimba miguu anatematema mate kama Cobra........lol!!!!!!
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  we na mleta thread nani wa kumzodoa mwenzie?
   
 6. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anasaidia kufichua uozo wa magamba hasa maadui zake.
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  ngoja nijidai sijaelewa kabisa, ha ha ha ha ha ha hiki kizee kumbe kinashabaa, Klyn huuuuuu huuuuuuuuuuuuuu saaaafi ndo dawa ya walimbwende , piga kitu then anakuwa mpole mwenyewe
   
 8. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndo maana nimesema huu umbeya yaani niliouandika mimi kama hujanielewa. Shirikisha ubongo wako basi acha kukurupuka huoni nimesema MMU mbali ninamaana siwezi vumilia nikaupeleka panapohusika
   
 9. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Kwani wewe hujui Mengi ni nani!!!!!!????
  Wanachofanya hao mabalozi ni kuvutia wawekezaji kwenye nchi zao na mabalozi wetu walitakiwa wafanye vivyo hivyo ila wao ni kuhudhuria birthday parties tu ndio wanachojua, mara chache sana kuwaona picha zao wakiongea na wawekezaji
   
 10. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,105
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280
  kinachoniuzi habari ya kukutana na mabalozi inaweza kuchukua nusu ya muda wa habari mbona kuna wamiliki tofauti wa tv kama cnn lakini hawatumii tv zao kujionyesha au mmesahau marudio ya uchaguzi mwaka 95 alipoonyesha picha za mauaji ya rwanda kuna kitu kimejificha
   
 11. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Hawaendi kwa Mengi kwa sababu anamiliki vyombo vya habari, ila ni kwasababu yeye ni mfanyabiashara mkubwa na miongoni mwa wahisani wakubwa nchini kama Bakhresa na MoDewji. Wote tunajua Bakhresa yuko so private sio mtu wa media na MoDewji ingia kwenye blog yake utamwona mara kwa mara.
   
 12. o

  okoyoko JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2016
  Joined: Jun 15, 2014
  Messages: 1,777
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  na mengine ni yapi? peri
   
Loading...