Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ACP Abdallah Zombe alirudi job au yuko uraiani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Supervisor, Jan 8, 2011.

 1. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jaman huyu afande mbona hasikiki tena baada ya kukutwa hana hatia kwa kesi ya mauaji? Sijui sheria za jeshi zinasemaje. Mjuvi atoe taarifa
   
Loading...